Hoja za Waitara - Je, CHADEMA watajibu?

Upinzani wetu huu ni pesa tu,hawana malengo ya kushika dola ndio maana toka 1995 hadi 2000 hatuna upinzani wa maana, watu wanawaza ruzuku tu na kupigana kila mara at the end vyama vinakufa.
Upinzani huu hauna nguvu ila kwenye chaguzi tu tena chaguzi ndogo unaua hadi mwanafunzi ili kupora jimbo, unatumia watendaji kuondoa majina yao na dhulma kibao. Halafu unajidai umeshinda, aisee! Mwendawazi si lazima aokote makopo.
 
Kwann mbowe asilete nyaraka ili kuwa prove wrong wanao sema ni mwiz Kama tuhuma Sio za kweli aje na ushaid hela amezitumia vip akiweza nahamia chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mzalendo uchwara mwambie Waitara amuambie bwana wake mwenye vyombo vya ulinzi na usalama alete uthibitisho Mbowe apelekwe mahakamani. Sometimes mnakuwa wajinga kupitiliza. Aliyetoa tuhuma awe na. Uthibitisho wa anayoyasema. Ukinifungulia mashtaka mimi nitakataa kosa ila wewe unayetuhumu ndiyo uje na ushahidi.
 
Mkuu yote haya yanasababishwa na ujinga wa watanzania yaani MIJITU mijinga mpaka kichefuchefu.sasa Jinga kama hili waitara nalo kwa sababu linajua kuna majinga zaidi yake yataamini lolote analosema yatakubali basi linalopoka tu. Na tatizo kuu ni Mbowe kugoma kuabudu kimungu chao.
 
Unachomwambia AWEZI kuelewa huyo mzalendo uchwara kashajambiwa ushuzi wa ujinga anaona wa kuleta ushahidi ni mbowe siyo waitara. ILA CCM HONGERA ZAO WAKISHAWAJAMBIA WATU USHUZI WA UJINGA YANAKUWA MAZEZETA NDIYO MAANA HATA YAKITUMWA KUUWA HAYAJIULIZI. Saa ujinga kama huu hata akilini kwa wenye AKILI hauingii kabisa.
 
Huyo Waitara alikosa ubunge kule Tarime kwa kuhusishwa na Tabia mbaya kukojoa hadharani. Wananchi walimkataa sababu ya pombe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bongo move kazini....Mbowe kamatia hapo hapo.....wanajua umebaki ww tu ili malengo yao yatimie.
 
Ahahahaha kwaio nyie makamanda wa ufipa Wala hamjal pia hamuhoji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie huenda mkawa simba wa kuchora
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mmh
Aje akanushe mbona hoja zingine hakaagi hata siku moja billa kuongea aje mbele za watu aseme Sio kweli Kama kweli yeye hajapiga mkwanja
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mmh
CAG Yule alikua mtu wenu bandindu mwenzenu ndiomana mlimpigia Sana promo tunajua kua alikua sehemu ya mchakato wa mbowe
Tumuamini CAG aliyetoa hati safi sio mtu anayeropoka bila nyaraka.

Ina maana CAG hakuona deni safi?

Mkuu ww ni mtu makini sitegemei uamini propaganda bila ushahidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: mmh
Mkuu zitto junior, nakubalina nawe kuwa na hawa wabunge nao walete humu JF ushahidi.

Mtu anasoma tu karatasi ndio ushahidi? Kwanini asingerekodi maongezi ayapeleke dawati la jinsia ama tume ya maadili ama kamati ya bunge ya jinsia ili kina Mbowe washtakiwe??

Kelele bila ushahidi hazina maana, sijasikia hta mmoja akiomba uchunguzi zaidi ya kulalamika kuna wizi na unyanyasaji.
 
Aje akanushe mbona hoja zingine hakaagi hata siku moja billa kuongea aje mbele za watu aseme Sio kweli Kama kweli yeye hajapiga mkwanja

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo tuhuma akanushe mara ngapi? Alishaeleza toka kipindi cha kina Juliana shonza na Zitto hii hoja ilishachuja hakuna mtu makini anayeamini.

Mbowe angetaka kupiga hela za CHADEMA angejipa tender zote full stop ila sio kuforce deni bila documents.

Hakunaga wizi wa kijinga hivyo, ssa una rekodi vipi kwenye Statements? NAO wakihoji hyo proof of debt wanatoa nini kuthibitisha? Interest rate vipi? Bado wakapewa hati safi!!
 
Hizi hoja tokea enzi za Chacha Wangwe. Mbowe ni jambazi la majambazi. Yaani ndo maana CCM itaendelea kututawala. Kilio changu waruhusu wagombea binafsi. Hivi vyama wizi mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…