Jitu la-Mtumba
JF-Expert Member
- Mar 20, 2025
- 283
- 760
Na Onana ni kipa mbovu kuwahi tokea wanaicosti sn utdHabarini wana michezo. Naomba nisiwachoshe,naona kama upeo wangu wa kuangalia mchezaji mchezaji umefika mwisho bila kuona thamani ya huyu no 9 wa Man united.
Kwa mechi nyingi sana zimepita amekuwa mchezaji wa hovyo sana. Sikatai timu haipo kwenye form lakini yeye kazidi. Kinachonishangaza ni kuanza kila game,au ana cha ziada ambacho mimi sikioni kama Giroud wa kombe la dunia?
Giroud wa kombe la Dunia ni holding striker, (link up) kwa kutumia strength yake ana win mipira ya juu na chini na kumpasia Antoine Griezeman au Kylian Mbape hao ndio wauaji.Habarini wana michezo. Naomba nisiwachoshe,naona kama upeo wangu wa kuangalia mchezaji mchezaji umefika mwisho bila kuona thamani ya huyu no 9 wa Man united.
Kwa mechi nyingi sana zimepita amekuwa mchezaji wa hovyo sana. Sikatai timu haipo kwenye form lakini yeye kazidi. Kinachonishangaza ni kuanza kila game,au ana cha ziada ambacho mimi sikioni kama Giroud wa kombe la dunia?
Hawezi piga pasi,hawezi hata kuhold,kukimbia na mpira,kuji position vizuri, anaanguka hovyo hovyo. Huwa anakera sanaJamaa hajui hâta kulenga goli
Leo atacheza vizuri, kesho ataharibu!Na Onana ni kipa mbovu kuwahi tokea wanaicosti sn utd