Hollow block maker machines

Hollow block maker machines

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania.
 
Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania.
Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio.
Nina drawing nimepata na ninategemea kwenda kwa fabricator anitengenezee.

Kama una mtu Malawi--naweza kukupa contact ya mahali pa kununua(Blantyre)
 
Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio.
Nina drawing nimepata na ninategemea kwenda kwa fabricator anitengenezee.

Kama una mtu Malawi--naweza kukupa contact ya mahali pa kununua(Blantyre)sina

Sina mtu Malawi, endapo una mchoro hapana tena ugumu wowote, nitaomba unitonye kwa huyo fundi nami anitengenezee mkuu
 
Hivi hiz tofali zinauzwa sh ngapi inaweza kuwa cheap?
Vipi matumizi yake unaweza jengea Kuta za nje au ni za ndani tu
 
Hivi hiz tofali zinauzwa sh ngapi inaweza kuwa cheap?
Vipi matumizi yake unaweza jengea Kuta za nje au ni za ndani tu
Mazuri sana, kwa kujengea nyumba, pia economy wise pia yanakata cost kwa 40%, nyumba haiwi na joto kabisa pia inakuwa noiseless!
 
Okey
Hebu nenda pale Nile machinery au poly machinery hapo ubungo business park Kuna wachina hapo ila bei zao ujipange kdg
 
Back
Top Bottom