Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio.Habari wadau wapi naweza pata hii mashine ya kufyatulia tofali zenye matundu katikati, msaada mwenye kufahamu zinakopatikana kwa Tanzania.
Boss,Nimezitafuta sana pia bila mafanikio.
Nina drawing nimepata na ninategemea kwenda kwa fabricator anitengenezee.
Kama una mtu Malawi--naweza kukupa contact ya mahali pa kununua(Blantyre)sina
Mazuri sana, kwa kujengea nyumba, pia economy wise pia yanakata cost kwa 40%, nyumba haiwi na joto kabisa pia inakuwa noiseless!Hivi hiz tofali zinauzwa sh ngapi inaweza kuwa cheap?
Vipi matumizi yake unaweza jengea Kuta za nje au ni za ndani tu