Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa movies utagundua jambo hili. Movie au vipande vingi vya sinema vinavyohusu nchi zisizo za kimagharibi utakuta wameweka rangi kama kuna vumbi vumbi😀. Hivi huwa wanatuonaje? Mfano huu hapa chini
Moja ya picha ya kipande toka kwenye kampuni kubwa ya kutengeneza movies duniani.
SIONI SABABU YA KUJISHUSHA MAANA MTOA MADA UNAONESHA NAMNA UNAVYOJIONA SIO WA THAMANI, KASI NI YAO ACHA WAFANYE WATAKAVYO. KAMA HUTAKI KUANGALIA MOVIE ZAO SIMPLE KUNA BONGO MOVIE