Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust.
Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji waliyoyafanya ya wayahudi kwenye concentration camps.
Kwanini Dunia Iko kimya juu ya mauaji na unyanyasaji wa wapalestina pale Gaza?.
Kwanini Dunia inashindwa kuwakamata na kuwashitaki mayahudi Kwa mauaji ya wapalestina?