Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Wayahudi walimvamia nani kule Ulaya?Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust.
Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji waliyoyafanya ya wayahudi kwenye concentration camps.
Kwanini Dunia Iko kimya juu ya mauaji na unyanyasaji wa wapalestina pale Gaza?.
Kwanini Dunia inashindwa kuwakamata na kuwashitaki mayahudi Kwa mauaji ya wapalestina?
Majibu yapo mengi tu.Kwa kweli hakuna aliye na jibu!
Wayahudi wamepitia mateso Sana. Farao mwarabu aliwatesa, Akaja Hitler akawatesa kwenye mauaji ya holocaust , Sasa hivi waarabu wamekusanyana dunia nzima na midevu Yao wakiongozwa na Iran wameenda kujichanganya Gaza na hizbula wakiongozwa na Iran eti wamalizw kizazi Cha Taifa la Mungu thubutuuuuu!!!!!!!!!Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust.
Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji waliyoyafanya ya wayahudi kwenye concentration camps.
Kwanini Dunia Iko kimya juu ya mauaji na unyanyasaji wa wapalestina pale Gaza?.
Kwanini Dunia inashindwa kuwakamata na kuwashitaki mayahudi Kwa mauaji ya wapalestina?
Mbona hujaiona ile genocide ya wayahudi iliyofanywa na hamas october 7 au ilivaa miwani ya mbao kitendo cha hamas kuivamia israel october 7 na kuua wayahudi 1200 na kuwateka 250 na wengine walibakwa, watoto walichomwa moto na bado hamas walirusha maroketi 7000Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust.
Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji waliyoyafanya ya wayahudi kwenye concentration camps.
Kwanini Dunia Iko kimya juu ya mauaji na unyanyasaji wa wapalestina pale Gaza?.
Kwanini Dunia inashindwa kuwakamata na kuwashitaki mayahudi Kwa mauaji ya wapalestina?
Wayahudi wamepitia mateso Sana. Farao mwarabu aliwatesa, Akaja Hitler akawatesa kwenye mauaji ya holocaust , Sasa hivi waarabu wamekusanyana dunia nzima na midevu Yao wakiongozwa na Iran wameenda kujichanganya Gaza na hizbula wakiongozwa na Iran eti wamalizw kizazi Cha Taifa la Mungu thubutuuuuu!!!!!!!!!
Tuwekee picha zikionyesha maroketi ya kitoka kwenye makaazi ya raia.Inaonekana Israel inafanya hivyo kujilinda.
Mauaji ya raia wa gaza yanadababishwa na hamas kuwatumia raia kama human shield, wanarusha rockets toka kwenye makazi ya raia na Israel wanapiga maeneo hayo hayo bila kujali kuwa wanaua raia. Holocaust ilikuwa tofauti, watu walikuwa wanakusanywa toka mitaani na kwenda kuuawa.
Mbona hujaiona ile genocide ya wayahudi iliyofanywa na hamas october 7 au ilivaa miwani ya mbao kitendo cha hamas kuivamia israel october 7 na kuua wayahudi 1200 na kuwateka 250 na wengine walibakwa, watoto walichomwa moto na bado hamas walirusha maroketi 7000
Hajatesa mtu anajihami baada ya kuvamiwa. Kumbuka Hawa manyangao wavuga ndevu ndio walimuanza yeye alikuwa ametulia tuli. Umemsahau waliwateka mpaka vijana WETU wawili wanafunzi na kuwaua?Kwahiyo mtu akipitia mateso sana anaruhusiwa kutesa wengine?
Kati ya mayahudi na WaAfrica ni nani amepitia mateso meengi sana.
Unatumia kipimo gani kusema hilo ni Taifa la Mungu? Mataifa mengine ni mataifa ya shetani?
Kwahyo kama wayahudi waliwauwa wapalestina nawao Wana haki ya kufanya mauwaji October 7? Kama ni hivyo acha nao waendelee kufa tu hakuna namnaKwahiyo mtu akipitia mateso sana anaruhusiwa kutesa wengine?
Kati ya mayahudi na WaAfrica ni nani amepitia mateso meengi sana.
Unatumia kipimo gani kusema hilo ni Taifa la Mungu? Mataifa mengine ni mataifa ya shetani?
kwa bahati mbaya sana, al jazeera wameharibu kabisa definition ya genocide. in fact, ukisoma genocide convention 1948, kinachotokea gaza sio genocide, ni war crimes na crimes against humanity. hata wewe uliyeandika hapa haujui.Dunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust.
Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji waliyoyafanya ya wayahudi kwenye concentration camps.
Kwanini Dunia Iko kimya juu ya mauaji na unyanyasaji wa wapalestina pale Gaza?.
Kwanini Dunia inashindwa kuwakamata na kuwashitaki mayahudi Kwa mauaji ya wapalestina?
Akikujibu uni tag mkuu.Wayahudi walimvamia nani kule Ulaya?
Hayo mambo Yako juu ya uwezo wake mkuu.kwa bahati mbaya sana, al jazeera wameharibu kabisa definition ya genocide. in fact, ukisoma genocide convention 1948, kinachotokea gaza sio genocide, ni war crimes na crimes against humanity. hata wewe uliyeandika hapa haujui.
Ni kweli Wayahudi waliuwa baada ya kushambulia na kuua wajerumani wasio na hatia kuwachukua mateka kuwabaka na hatimaye kuondaka nao kusikojulikanaDunia ilipiga sana kelele na bado inamshutumu Hittler juu ya mauaji ya wayahudi pale Germany aka Holocaust.
Leo hii Ulaya manazi wanaonekana ni chukizo na wanaandamwa kila mahala juu ya mauaji waliyoyafanya ya wayahudi kwenye concentration camps.
Kwanini Dunia Iko kimya juu ya mauaji na unyanyasaji wa wapalestina pale Gaza?.
Kwanini Dunia inashindwa kuwakamata na kuwashitaki mayahudi Kwa mauaji ya wapalesti