Homa imenizidia mie!

Homa imenizidia mie!

Zinduna

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2011
Posts
2,378
Reaction score
3,383
Homa imenizidia mie,
kutwa nashinda nalia,
jua linapochomoza machozi mie hunitoka
kisa alichonitenda $Rejao, sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mpenzi wangu ili nikaishi naye,
nimeachwa na mpenzi wangu, nimekwenda kwa $Rejao, baada ya muda si mrefu asema niondoke sina tabia nzuri ooh………………. X2

Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa …………x2

....Ndugu zangu mlio na wapenzi, jihadhari na wadanganyifu mkaachana na wapenzi wenu mtapotea………

.....Nimesimama katikati ya njia panda, jua linazidi kuzama…… maaama mamamaaaa……………

*******************************************

Nimemkumbuka Anti yangu, aupenda sana huu wimbo wa Mlimani Park
 
ahsante sana bi dada kwa kutukumbusha mbali,ubarikiwe sana 😛oa.Nalog off
 
Homa imenizidia mie,
kutwa nashinda nalia,
jua linapochomoza machozi mie hunitoka
kisa alichonitenda $Rejao, sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mpenzi wangu ili nikaishi naye,
nimeachwa na mpenzi wangu, nimekwenda kwa $Rejao, baada ya muda si mrefu asema niondoke sina tabia nzuri ooh………………. X2

Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa …………x2

....Ndugu zangu mlio na wapenzi, jihadhari na wadanganyifu mkaachana na wapenzi wenu mtapotea………

Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa …………x2

.....Nimesimama katikati ya njia panda, jua linazidi kuzama…… maaama mamamaaaa……………

*******************************************

Nimemkumbuka Anti yangu, aupenda sana huu wimbo wa Mlimani Park

mtoe Rejao kwenye liriks zako tafadhali...
 
Honestly, hiyo heading imenistua sana mpendwa. Si nikadhani mtu anaumwa yuko hoi bin taabani!!!
 
Homa imenizidia mie,
kutwa nashinda nalia,
jua linapochomoza machozi mie hunitoka
kisa alichonitenda $Rejao, sitakisahau kamwe,
amenishawishi nimuache mpenzi wangu ili nikaishi naye,
nimeachwa na mpenzi wangu, nimekwenda kwa $Rejao, baada ya muda si mrefu asema niondoke sina tabia nzuri ooh………………. X2

Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa …………x2

....Ndugu zangu mlio na wapenzi, jihadhari na wadanganyifu mkaachana na wapenzi wenu mtapotea………

Maama yamenikutaaa, maama yamenikutaaa …………x2

.....Nimesimama katikati ya njia panda, jua linazidi kuzama…… maaama mamamaaaa……………

*******************************************

Nimemkumbuka Anti yangu, aupenda sana huu wimbo wa Mlimani Park

Thanks dadaa unenifurahisha
 
Dah,mamito nawe una mbwembwe,
Nikajua uko hoi bin taababi kumbe.......!
Haya bwana asante kwa kamwimbo lol!
 
lol..kila siku hapa linaibuka jipya, hii inatufanya wengine hata tukilala tuwe tunaiota tu jf!
mmmh mimi nimepita tu KUMBE WAISHI NA ZINDUNA KWANINI UNAMFUKUZA JAMANI?
 
Back
Top Bottom