brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 247
- 135
🤣🤣😂🤣🤣😂😂😂😂 UnavitukoLeo na mimi nimewahi siti
husababishwa na maradhi kama malaria,typhoid,U.T.I na n.k.
Homa ya dengue iko vpAina inatokana na aina ya sababu kama ulivyozitaja hapo.
Kuna Dengue fever, Yellow fever, Malaria fever, Typhoid fever n.k
Kwa hiyo homa zipo za aina nyingi
Google mkuu upate maelezo kamiliHoma ya dengue iko vp
Kwa uelewa wangu[emoji116]
Homa ni kitendo cha joto la mwili kupanda adi nyuzi kadhaa ambayo husababishwa na maradhi kama malaria,typhoid,U.T.I na n.k.
Swali;naitaji kujua kuna aina ngapi za (homa)tofauti na nyuzi joto za mwili kupanda,,,na ni zipi kwa majina.