Homa ninini!???

Homa ninini!???

brave Mwafrika

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2019
Posts
247
Reaction score
135
Kwa uelewa wangu👇
Homa ni kitendo cha joto la mwili kupanda adi nyuzi kadhaa ambayo husababishwa na maradhi kama malaria,typhoid,U.T.I na n.k.
Swali;naitaji kujua kuna aina ngapi za (homa)tofauti na nyuzi joto za mwili kupanda,,,na ni zipi kwa majina.
 
husababishwa na maradhi kama malaria,typhoid,U.T.I na n.k.

Aina inatokana na aina ya sababu kama ulivyozitaja hapo.

Kuna Dengue fever, Yellow fever, Malaria fever, Typhoid fever n.k

Kwa hiyo homa zipo za aina nyingi
 
Mkuu fever its fever haijarishi chanzo ni nn. Na ni dalili za abnomality of the body means mwili unaoverwork kupambana ana abnomality iliyoingia
Kwa uelewa wangu[emoji116]

Back
Top Bottom