HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini.
Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi.

Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa moja na Ugonjwa wa Homa ya Nguruwe (Swine Fever). Hata hivyo, ni muhimu kufahamu kuwa si kila kifo cha nguruwe kinatokana na Swine Fever pekee.
Magonjwa ya mlipuko, usimamizi hafifu wa biosecurity, lishe isiyo sahihi, pamoja na kuchelewa kuchukua hatua za kitaalamu, vyote vinaweza kuchangia kwa kiasi kikubwa tatizo hili.

🎙 Katika Podcast yetu ya Shamba Talks – Episode ya Pili
Tumezungumzia kwa kina:

Swine Fever ni ugonjwa wa aina gani

Dalili zake kuu

Njia sahihi za kujikinga

Hatua za msingi za kudhibiti kuenea kwake shambani

Lengo letu ni kumsaidia mfugaji afahamu ukweli, achukue hatua sahihi mapema, na apunguze hasara zisizo za lazima.

👉 Kaa karibu na YouTube Channel yetu – Rubaba TV
Usipitwe na somo hili muhimu kwa mfugaji yeyote wa nguruwe.

📢 JIUNGE NA GROUP LETU LA MAFUNZO YA KILIMO & UFUGAJI WA KIBIASHARA – RUBABA MEDIA

Kupitia group letu utapata:
✔ Mafunzo ya vitendo yanayotokana na uzoefu halisi wa shambani
✔ Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu na wafugaji waliothibitisha mafanikio
✔ Mbinu za kuongeza uzalishaji wa maziwa, nyama na mayai
✔ Mikakati ya kupunguza gharama na kudhibiti hasara
✔ Mwongozo wa kujenga kilimo na ufugaji wa kibiashara unaoendana na soko la sasa

📩 HATUA ZA KUJIUNGA
📌 Tuma ujumbe: NIUNGE
📞 WhatsApp: 0764 148 221

📦 KUMBUKA MUHIMU
Matokeo makubwa huanzia kwenye lishe bora ya mifugo.
Ndiyo maana tunashauri matumizi ya bidhaa za @KoudijsTanzania, zinazosaidia kuboresha uzalishaji na afya ya mifugo.

@KoudijsTanzania wanatoa concentrates bora na zilizothibitishwa kitaalamu kwa:
✔ Kuku wa aina zote
✔ Nguruwe
✔ Samaki

Bidhaa hizi zimeandaliwa kwa viwango vya juu ili
 

Attachments

  • 2026-02-08-180444317.mp4
    15.6 MB
Back
Top Bottom