Pre GE2025 Homa ya Uchaguzi yazidi Kupanda, Wabunge wajichanganya hata kwenye Maeneo ambayo waliyapuuza miaka yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.

Screenshot_2024-11-04-23-26-14-1.png

Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
 
Wee acha uongo ! Tarimba ni bonge la mbunge tatizo mmezoea wale wanao sema ovyo kama msukuma ndo mana.Tarimba hata akiongea ni mwendo wa kutema madni tu na sio porojo kama za kina musukuma
 
Kinondoni tangu atoke Greyson haijawahi kupata Mbunge wa maana kabisa

Msakandeo, Kabisa, Ngula, yule ndugu wa Zungu Akaja yule wa CUF sasa kaingia Mzee wa Michezo ya kubahatisha 😂
Mzee wangu jirani yangu mzee Peter kabisa ndy alituangusha
Wote waliyokuja wahuni,huyu tarimba mhuni tu
Haya sahv idd azzan anapiga jaramba arudi...
Yule mzungu bryson ndy alikuwa mbunge kinondoni

Ova
 
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.

View attachment 3144282

Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
Mkuu kwani Bungeni hawawakilishi maoni na kero za watu wa kinondoni??

Hashiriki kutunga sheria au hasimamii serikali bungeni??

Kuhusu miradi ya maendeleo unamuonea, hayo sio majukumu yake, ni ya serikali!!!
 
Kinondoni tangu atoke Bryson haijawahi kupata Mbunge wa maana kabisa

Msakandeo, Kabisa, Ngula, yule ndugu wa Zungu Akaja yule wa CUF sasa kaingia Mzee wa Michezo ya kubahatisha 😂
Ha haaa..Msakandeo..umenikumbusha mbali kiongozi...mpinzani wake (Kipindi hicho chama kimoja) alikuwa somebody James..hebu nikumbushe vizuri hapa...
 
Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.

View attachment 3144282

Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
Mbunge mzima anakaa kwenye meza ya visheti halafu vikaendelea kuwemo kwenye madeli yake na vikombe vya kahawa kuendelea kufunikwa, si jambo la kawaida anapofika mweshimiwa kwenye maeneo kama hayo!

Kweli huyo Mbunge kafika mitaa hiyo bila kujua amefuata nini na wala haelewi hapo kakaa kwa sababu gani.😁😆😜
 
Mkuu kwani Bungeni hawawakilishi maoni na kero za watu wa kinondoni??

Hashiriki kutunga sheria au hasimamii serikali bungeni??

Kuhusu miradi ya maendeleo unamuonea, hayo sio majukumu yake, ni ya serikali!!!
Kwa hiyo Wabunge wote wanaofuatilia utekekezaji wa bajeti za miradi iliyopangiwa maeneo yao, hufanya kazi zisizo wahusu?
 
Kinondoni tangu atoke Bryson haijawahi kupata Mbunge wa maana kabisa

Msakandeo, Kabisa, Ngula, yule ndugu wa Zungu Akaja yule wa CUF sasa kaingia Mzee wa Michezo ya kubahatisha 😂

..mbunge wa Cuf anaitwa Maulidi, sikumbuki ubini wake.

..lakini ujinga na tamaa zake ndio chanzo cha kupigwa risasi, na kifo cha Aquilina.
 
hapo kwenye hicho kijiwe ni kinondoni manyanya pale stand ya kwenda posta, karibu na jengo lake liitwalo tarimba house. kuna mateja kibao hapo alafu wengi wao ni madereva na wapiga debe. hapo kaenda kuzuga na kuwachora wazee njaa kali wa hapo manyanya.
 
Back
Top Bottom