Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
NaamMaokoto yanatafutwa kwa njia zote
Kinondoni tangu atoke Bryson haijawahi kupata Mbunge wa maana kabisaAluta kontinua
Mzee wangu jirani yangu mzee Peter kabisa ndy alituangushaKinondoni tangu atoke Greyson haijawahi kupata Mbunge wa maana kabisa
Msakandeo, Kabisa, Ngula, yule ndugu wa Zungu Akaja yule wa CUF sasa kaingia Mzee wa Michezo ya kubahatisha π
Mkuu kwani Bungeni hawawakilishi maoni na kero za watu wa kinondoni??Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.
View attachment 3144282
Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
Ha haaa..Msakandeo..umenikumbusha mbali kiongozi...mpinzani wake (Kipindi hicho chama kimoja) alikuwa somebody James..hebu nikumbushe vizuri hapa...Kinondoni tangu atoke Bryson haijawahi kupata Mbunge wa maana kabisa
Msakandeo, Kabisa, Ngula, yule ndugu wa Zungu Akaja yule wa CUF sasa kaingia Mzee wa Michezo ya kubahatisha π
Mbunge mzima anakaa kwenye meza ya visheti halafu vikaendelea kuwemo kwenye madeli yake na vikombe vya kahawa kuendelea kufunikwa, si jambo la kawaida anapofika mweshimiwa kwenye maeneo kama hayo!Huyu Hapa ni Abbas Tarimba, Mbunge wa Kinondoni ambaye hajui hata alipataje Ubunge huo akijikuta kakaa kwenye kijiwe ambacho hata haelewi amefuata nini.
View attachment 3144282
Tarimba anatajwa kuwa ni miongoni mwa Wabunge duni kabisa wa Bunge la Tanzania, ambao ukiacha kuwapa Nauli Washabiki wa Yanga kwenda Uwanjani kushangilia Timu yao, Hakuna lolote analoweza kuwaonyesha Wapiga kura wake ili wamchague tena 2025.
Kwa hiyo Wabunge wote wanaofuatilia utekekezaji wa bajeti za miradi iliyopangiwa maeneo yao, hufanya kazi zisizo wahusu?Mkuu kwani Bungeni hawawakilishi maoni na kero za watu wa kinondoni??
Hashiriki kutunga sheria au hasimamii serikali bungeni??
Kuhusu miradi ya maendeleo unamuonea, hayo sio majukumu yake, ni ya serikali!!!
Akijibu nistueKwa hiyo Wabunge wote wanaofuatilia utekekezaji wa bajeti za miradi iliyopangiwa maeneo yao, hufanya kazi zisizo wahusu?
Kinondoni tangu atoke Bryson haijawahi kupata Mbunge wa maana kabisa
Msakandeo, Kabisa, Ngula, yule ndugu wa Zungu Akaja yule wa CUF sasa kaingia Mzee wa Michezo ya kubahatisha π