Pre GE2025 Homa ya Uchaguzi yazidi Kupanda, Wabunge wajichanganya hata kwenye Maeneo ambayo waliyapuuza miaka yote

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Anaendaga sana hata kabla hajawa mbunge enzi za akina Mzee Mwinyihija 😀😀
 
..mbunge wa Cuf anaitwa Maulidi, sikumbuki ubini wake.

..lakini ujinga na tamaa zake ndio chanzo cha kupigwa risasi, na kifo cha Aquilina.
Maulid Mtulia, baada ya kujiuza na muhula wake kwisha, akataka tena kupitia CCM, Akalogwa vibaya sana!
 
Aiseeeee!!
 
Mpira na kubet haram shehe
 
Naomba mnisaidie kujua ni wa wapi wandugu.Akili yangu inaniambia kama moro vile sijui niko sahihi?
 
Basi hapa na mazezeta watawapigia kura
 
Kinondoni tangu atoke Bryson haijawahi kupata Mbunge wa maana kabisa

Msakandeo, Kabisa, Ngula, yule ndugu wa Zungu Akaja yule wa CUF sasa kaingia Mzee wa Michezo ya kubahatisha 😂wakamk Kwenye ubunge hakuna kubahatisha
Uchaguzi wa mwaka 2025, hakuna kubahatisha. Uchaguzi wa 2020 kuna wabunge waliokota embe dodo kwenye miti ya michongoma.
 
..mbunge wa Cuf anaitwa Maulidi, sikumbuki ubini wake.

..lakini ujinga na tamaa zake ndio chanzo cha kupigwa risasi, na kifo cha Aquilina.
Ubini wake ulikuwa kama siyo ”Mtulia” basi ni “Mtilila”
 
Uchaguzi wa mwaka 2025, hakuna kubahatisha. Uchaguzi wa 2020 kuna wabunge waliokota embe dodo kwenye miti ya michongoma.
Kuna hali ya wananchi kuchoka yanayoendelea,na tume hii hii ya uchaguzi inayoamrishwa moja kwa moja na samia kunaweza kusiwe na jipya

Plus jeshi la police kushabikia siasa tena waziwazi hivi vyote uchaguzi unaweza usiwe na afya
 
Kama hakuna tume huru , hata asingekaa huko kijiweni , angeshinda tu.
 
Wee acha uongo ! Tarimba ni bonge la mbunge tatizo mmezoea wale wanao sema ovyo kama msukuma ndo mana.Tarimba hata akiongea ni mwendo wa kutema madni tu na sio porojo kama za kina musukuma
Wewe endelea ku-mwisho mwampamba ndio utajua kama idris alipata pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…