BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
Najua haki zangu za msingi na katika hizo haki kupiga kura sio haki ya msingi katika KATIBA, ibara ya 12-24 ya katiba ya jamuhuri wa muungano wa tanzania. aahaa kumbee hii ni haki ya kuwa raia wa nchi ndio uweze kupiga kura, wingi wa watu kupiga kura haimanishi watu wameelimika sana katika haki yao ya uraia. mfano mzuri wanachama wayanga waLIPOMUONDOA MADEGA madarakani haikumanisha kama wanajua haki zao hapana ni kwamba walichoshwa na uongozi wa madega.Je watanzania wamechoshwa kweli na uongozi wa ccm? nimekaa nikaumiza kichwa nikasema kwa miakaa hii mitano ccm imefanya nini hili swali angejibu kikwete,okay kwa mfano mimi na ww tunampa dr. slaa kura na wanachama 2500 wa jamii forum hizo zitamtosha?sizani, sitaki kusema sana watu wakasema haya mwingine huyo, kama ni kamari thamani ya dr.slaa ni 15.00 na kikwete ni 1.16,mwenye njaa na maskini hawana matumaini lakini siku ya uchaguzi utasika kiongozi wa chama chetu akisema tukishinda naangusha ngombe na chakula cha kutosha hiyo ni rushwa ya mawazo, mtu akienda kupiga kura kichwani anafikiria kiongozi yule kasema akishinda kutakuwa na bonge la sherehe ww unafiki kweli dr.slaa ataambulia kura kwa maskini na wenye njaa,wengi wa mjini hawarubuniwi na sherehe za baada ya uchaguzi nenda mikoani utona{nakumbuka 2005 mizinga ya konyagi na Nyama choma} Siku maskini na wenye njaa wakichoka ccm itaondoka Madarakani.
A person who start to give reason by criticizing is an ignorant: judge by REASONS
A person who start to give reason by criticizing is an ignorant: judge by REASONS