home decoration

rasai

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
230
Reaction score
341
Nimekuja kwenu members mnisaidie, nna idea yangu ya kuja kuwa na duka kubwa la vitu vya mapambo ya nyumba, yani mapazia, mashuka, maua, stand za maua, makapet, doormats, nk. Kusema hii biashara natamani sana kuifanya, nipo morogoro, na sjajua wapi ni nafuu kwangu kupata kwa jumla vitu hivyo, pia kadirio la mtaji ni kiasi kitatosha kuanzia. Nipeni maarifa mwenzenu
 

Uki-import ni nafuu zaidi but itahitaji mtu mwenye mtaji mkubwa.
Labda ukubali kua chuma ulete wa HOME SHOPPING CENTRE
 
Sawa nashkuru mkuu. Kuimport ni bora zaidi, ila mtaji kiasi gani cha mtaji kwa kuanzia na procedure.
 
80-150 milionmana uwe na pesa ndefu ya kutolea mzigo bandarini la sivyo mtaji utaogelea hapo. ila kwa hela ndogo kam m10 hivi unaweza ukaenda HMs ukaongea nao wakuuzie kwa jumla.
 
80-150 milionmana uwe na pesa ndefu ya kutolea mzigo bandarini la sivyo mtaji utaogelea hapo. ila kwa hela ndogo kam m10 hivi unaweza ukaenda HMs ukaongea nao wakuuzie kwa jumla.

Hatamie nmegundua kamtaji hakitohimili import. Nashkuru sana kwa ushauri, nko morogoro, HMs nifahamishe, kuuliza siujinga nduguyangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…