Nimekuja kwenu members mnisaidie, nna idea yangu ya kuja kuwa na duka kubwa la vitu vya mapambo ya nyumba, yani mapazia, mashuka, maua, stand za maua, makapet, doormats, nk. Kusema hii biashara natamani sana kuifanya, nipo morogoro, na sjajua wapi ni nafuu kwangu kupata kwa jumla vitu hivyo, pia kadirio la mtaji ni kiasi kitatosha kuanzia. Nipeni maarifa mwenzenu