Mausingizii
Member
- Jul 14, 2022
- 90
- 74
Habari zenu wakuu ,samahani naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la urembo wa ndani maua, saa na kikorokoro vyote kwa kwa kariakoo ili na mm niuze huku niliko ?
Natanguliza shukrani
Natanguliza shukrani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda mtaa wa aggrey paleHabari zenu wakuu ,samahani naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la urembo wa ndani maua, saa na kikorokoro vyote kwa kwa kariakoo ili na mm niuze huku niliko ?
Natanguliza shukrani
Uko mkoa gani?Ahsante sana