Hapana chiefHaya unauza?
Mkuu kuwatunza mayatima yakuhusiani na kununua/kumiliki vitu vya thamaniHuwa najiuliza Kwa nini kugharamia kiasi hiki?
Ni pambo la macho au ni uhitaji
Kwani nyumba haiwezi kuwa simple
Well Wachina wanajua kuvuna pesa
Tuwatunze Yatima na Maskini tujiwekee hazina