Home makers: Beauty and stylish

Home makers: Beauty and stylish

.

Screenshot_20211130-102331_Instagram.jpg
 
Sinaga ubaili hasa inapokuja bajeti ya taa za sitting room kwangu.

Moja kati ya vitu nafunguaga wallet kimaukweliiii ni upande wa TAAAA..

i love it arif.. Taaa zinaongeza credit sana pale seblen/ofisini/chumbani, Taaa is everthing kwa mimi..
Aisee wewe ni kama mimi..nitakutumia uone nilizonunua
 
Sinaga ubaili hasa inapokuja bajeti ya taa za sitting room kwangu.

Moja kati ya vitu nafunguaga wallet kimaukweliiii ni upande wa TAAAA..

i love it arif.. Taaa zinaongeza credit sana pale seblen/ofisini/chumbani, Taaa is everthing kwa mimi..
Agiza hizi hutajuta. Bongo material sio kiwango na wanauza moja 60,000 rangi unachagua kijani, blue nyekundu nk
1638280313469.jpg
 
Back
Top Bottom