Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaaDah hiki kitamu mno
Watu wanaishi utazani wanaishi peponi
Lazima kubalance kwa wahitaji toa lakini mahali pazuri pa kuishi ni muhimu pia.. After all Pakawa hivi ninavyopost ukiagiza mwenyewe sio ghali kabisaHuwa najiuliza Kwa nini kugharamia kiasi hiki?
Ni pambo la macho au ni uhitaji
Kwani nyumba haiwezi kuwa simple
Well Wachina wanajua kuvuna pesa
Tuwatunze Yatima na Maskini tujiwekee hazina