Je nikihitaji mkuu nazipataje?Kuna mahali nimesema ni za kwangu?
Hapana ni halisi ila sijaelewa uhalisia kwa maana ipi.. Vyote nilivyopost ni vitu halisiMkuu nadhani ungekuwa unaleta zile za uhalisia basi, sio hizo nyingi za computer-generated. Uzi ungekua mtamu sana View attachment 2025003