Sinaga ubaili hasa inapokuja bajeti ya taa za sitting room kwangu.
Aisee wewe ni kama mimi..nitakutumia uone nilizonunuaSinaga ubaili hasa inapokuja bajeti ya taa za sitting room kwangu.
Moja kati ya vitu nafunguaga wallet kimaukweliiii ni upande wa TAAAA..
i love it arif.. Taaa zinaongeza credit sana pale seblen/ofisini/chumbani, Taaa is everthing kwa mimi..
Agiza hizi hutajuta. Bongo material sio kiwango na wanauza moja 60,000 rangi unachagua kijani, blue nyekundu nkSinaga ubaili hasa inapokuja bajeti ya taa za sitting room kwangu.
Moja kati ya vitu nafunguaga wallet kimaukweliiii ni upande wa TAAAA..
i love it arif.. Taaa zinaongeza credit sana pale seblen/ofisini/chumbani, Taaa is everthing kwa mimi..