Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya kuwachapa Lazio nyumbani kwao goli 3...sasa anasubiriwa Atalanta
Baada ya kuwachapa Lazio nyumbani kwao goli 3...sasa anasubiriwa Atalanta
Chomba, salama kaka? Naona jasho limewatookaaa, mmeambulia sare. Majigambo tu kumbe simba wa karatasi!
hivi stephano el sharaaway mmemtoa kwa mkopo huko masseile???
Mmejifia nyie saizi mmebaki historia tu
Mshambuliaji mario balotelli yupo kwenye msongo wa mawazo baada ya kuambwa kuwa ajiandae na kisu cha korodani...