miaka 116 tumetimiza...
tukiwa na makombe ya kimataifa mengi zaidi ya vilabu vyote vya German, Italy, England, France, Holland na hata Spain.
ndio timu iliowahi kusajili nyota weengi ulimwenguni.
hakika nitakupenda daima Milan wangu. nilikuwa na wewe, nipo na wewe na nitakufa nikikushangilia wewe.
penye huzuni nipo na wewe na penye faraja tutakuwa wote pia.
sijawahi kuwaza kukukana panapotukutanisha watu wa Soka, mara zote nimesimama kidali wazi huku nikipaza sauti kueleza mafanikio yako ya Soka Milan wangu.
hakika nimejivunia kuwa na wewe.
kutoka kwa mpendwa wako
Gang Chomba...