Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #2,161
Chomba vp mechi ya Bayern unaipimiaje kwa majirani zako. Au tulete fungu mtuuzie TURA.
Mimi hupita hapa kwa sababu ya kusoma comments za chomba.
Kama ukitulia na kuisoma historia vizuri ya AC milan ndoo walizochukua na miamba iliopitia hapo kama Rijkaard,basten,gullity,inzaghi,baresi,opong na wengine wengi huwa sina shaka kwanini watu bado wana mahaba na rosoneri sijawahi kuishabikia ila mafanikio yake siwezi kuyabeza kila la kheri gang chomba.