Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #441
Hawa milan jinamizi la goli la muntari bado wanalo????JUVE tunabeba ndoo ya ligi ya nyumbani halafu katika UEFA msimu unaokuja tunarudisha heshima ya clubs za Italy!wale mama barca tukikutana nao ni maafa makubwa tutawanyia!
Hapo umenena...
Welcome Back Myao
Gang na Myao kazi yenu kuongelea historia za kale, mnaleta habari za Machemba zama za Mwamunyange!
Magharibi kabla jua halijazama milan wamechomoa kupitia ibrahmovic!milan 1 bologna 1 ft!
companero nyie ndo aina ya watu picha zenu mkiwa mmevaa nepi utotoni mnazichana hamtaki historia!!!!!ukitakaa kujua uzuri wa sasa lazima uufanishe na wa wakati uliopita!hata marehemu waliofariki kabla ya huyu kuulikana kama watafufuka leo ukimsifia messi lazima watakuuliza je huyo messi anajua mpira kama gaucho au zidane?
Na wanaongoza ligi
Bianconeri warudi katika usukani baada ya kuwatandika Roma 4-0 bila huruma!!!deiwaka Milan kaachia usukani kwa suka Juve na hii ndo mpaka mwisho wa ligi Milan watasoma plate number!...
niliapa kama Barca wangemtoa Chelsea na kuingia fainali basi ningeaacha kula Mirungi.
Fanculo
ngoja vibbi navyo viinue makwapa maana vimelimis...
Weekend hii juve tunasaka point 3 muhimu dhidi ya novara!formation ni ileile ya kumwaga tope katikati ya dimba yaani 3-5-2!viungo wengi mabeki watatu washambuliaji wawili!leo mbele borriello na vucinic huku quaglierra akisubiri benchi na simba mzee del pierro!
dai ragazzi noi ci crediamo!forza juve!