Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

Hawa milan jinamizi la goli la muntari bado wanalo????JUVE tunabeba ndoo ya ligi ya nyumbani halafu katika UEFA msimu unaokuja tunarudisha heshima ya clubs za Italy!wale mama barca tukikutana nao ni maafa makubwa tutawanyia!

Hapo umenena...
Welcome Back Myao
 
Hapo umenena...
Welcome Back Myao

Asante sana kamanda gang chomba bin gaucho mmoja wa wanafamilia wa kizazi kitakatafu!binadamu pekee anayeweza kuongea na gozi na wakaelewana!kiumbe kinachoweza kuamuru miguu yake kufanya kazi ya mikono akiwa dimbani!....mwakani tunataka kuonyesha tofauti ya kandanda,soka na kabumbu kwa vitendo!
 
Gang na Myao kazi yenu kuongelea historia za kale, mnaleta habari za Machemba zama za Mwamunyange!
 
Gang na Myao kazi yenu kuongelea historia za kale, mnaleta habari za Machemba zama za Mwamunyange!

companero nyie ndo aina ya watu picha zenu mkiwa mmevaa nepi utotoni mnazichana hamtaki historia!!!!!ukitakaa kujua uzuri wa sasa lazima uufanishe na wa wakati uliopita!hata marehemu waliofariki kabla ya huyu kuulikana kama watafufuka leo ukimsifia messi lazima watakuuliza je huyo messi anajua mpira kama gaucho au zidane?
 
Kuna uwezekano leo mtu mzima milan akafanywa hamna ghetto kwake stadio giuseppe meazza kwani mpaka half time bologna washatupia kimoko
 
Magharibi kabla jua halijazama milan wamechomoa kupitia ibrahmovic!milan 1 bologna 1 ft!
 
companero nyie ndo aina ya watu picha zenu mkiwa mmevaa nepi utotoni mnazichana hamtaki historia!!!!!ukitakaa kujua uzuri wa sasa lazima uufanishe na wa wakati uliopita!hata marehemu waliofariki kabla ya huyu kuulikana kama watafufuka leo ukimsifia messi lazima watakuuliza je huyo messi anajua mpira kama gaucho au zidane?

historia ina sehemu yake. ni raha kuwakumbuka kina lentini(gigi), albertini na maldini. lakini hao hawabadili matokeo ya milan kupigwa bao na barca 2012.
 
Bianconeri warudi katika usukani baada ya kuwatandika Roma 4-0 bila huruma!!!deiwaka Milan kaachia usukani kwa suka Juve na hii ndo mpaka mwisho wa ligi Milan watasoma plate number!...

ngoja vibbi navyo viinue makwapa maana vimelimis...
 
niliapa kama Barca wangemtoa Chelsea na kuingia fainali basi ningeaacha kula Mirungi.

Fanculo
 
Weekend hii juve tunasaka point 3 muhimu dhidi ya novara!formation ni ileile ya kumwaga tope katikati ya dimba yaani 3-5-2!viungo wengi mabeki watatu washambuliaji wawili!leo mbele borriello na vucinic huku quaglierra akisubiri benchi na simba mzee del pierro!
 
Half time. Siena 0 AC Milan...ibrahmovic na caSsano wametupia. Novara 0 Juve 2...vucinic na borrielo wamefanya kazi waliyopangiwa
 
Milan na Juve kila mmoja akashinda goli 4...
Inter nae akajivuta mpaka nafasi ya 4 akiwa ktk nafasi nzuri ya kucheza ligi ya mabingwa msinu ujao endapo Napoli Musica watateleza...
 
Weekend hii juve tunasaka point 3 muhimu dhidi ya novara!formation ni ileile ya kumwaga tope katikati ya dimba yaani 3-5-2!viungo wengi mabeki watatu washambuliaji wawili!leo mbele borriello na vucinic huku quaglierra akisubiri benchi na simba mzee del pierro!

Dah kweli wajomba mnamwaga tope ktkt...
Kuna mechi yenu moja niliiangalia duh mpaka kero.
Yaani mko ktkt wengi kiasi kwamba hata wapinzani wakalazimika kupiga mipira mirefu ili kuvuka pale kati
 
mpaka sasa Juve wanaongoza kwa tofauti ya pointi moja.
Matokeo ya hivi punde yanaonyesha kuwa Bibi kizee cha Torino ama Juventus wamelazimisha droo na timu ya Lecce huku mabingwa watetezi yaani AC Milan wakiwachapa Atalanta Bergamo kwa jumla ya magoli mawili kwa bila.
Magoli ya Milan yamewekwa kimiani na Suleymane Muntari na Robinho.

Wakati huo huo Napoli Musica na Udinese wakipata ushindi ktk mechi zao za leo.

Inter wakaangukia pua na kukubali kulambwa goli 3 na Parma.

The Sagga continua
 
Back
Top Bottom