Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #481
kifiro.........
Nilisahau ni Alesandro NestaBelo nyoosha habari.
Mtaje huyo Mlinzi,
unapokuja na habari pasipo kutaja muhusika unakuwa unafanya maisha ya wapenzi wa AC Milan kuzidi kuwa magumu.
Forza Milan
Belo nyoosha habari.
Mtaje huyo Mlinzi,
unapokuja na habari pasipo kutaja muhusika unakuwa unafanya maisha ya wapenzi wa AC Milan kuzidi kuwa magumu.
Forza Milan
janjaweed ukiwa na akili timamu huku ukishinikizwa na Gang Chomba nguli wa AC Milan nakushauri jitahidi uifute hiyo post yako kabla hakujapambazuka...
Najuwa ni furaha ya kombe ambalo hamjalipata kwa kununua marefa mpaka mkashushwa daraja.
naona unarudi kwenye historia ila ndio hivyo mavi ya kale hayanuki, bingwa wa sasa sio milan - ni timu ya pirlo i.e. juve!
forza juve the grandma of turin kwa kuinua kwapa kwandoo yamara 30 ya serie a
Seedorf could stay at AC Milan
16 May 2012
Veteran midfielder Clarence Seedorf insists he has no intentions of retiring and could stay at AC Milan.
Veteran midfielder Clarence Seedorf insists he has no intentions of retiring and could stay at AC Milan.
The 36-year-old said before last Sunday's game against Novara that it would be his last game for the Serie A club, and reports from Brazil had suggested he was on the verge of joining Botafogo.
However, Seedorf appears to have changed his mind and could now remain at the San Siro club.
"I do not rule anything out, not even staying at Milan. I am taking a week to think about it and make a decision calmly," he told La7.
"I will definitely not retire, though. I want to play for two or three more years."
Seedorf's contract with Milan is due to expire in June.
He joined AC Milan in 2002 after previous stints with city rivals Inter, Real Madrid, Sampdoria and Ajax.
wachezaji wa zamani wa milan waachwa timu ya taifa ya brazil kwa kuwa ni wachovu - wamekwisha kisoka!
Ronaldinho left out of Brazil squad - News | FOX Sports on MSN
Ronaldinho, Kaka and Ramires Left Off Brazils Friendly Roster Only Six Players Over 23 Included | TheOriginalWinger
hivi Fainali ya Copa italia imeshachezwa?
Hii Habari kwa kuwa yupo Saint Gaucho ndio maana umeibandika hapa...
we siku utakayosadiki kuwa Dinho ni Mbarikiwa basi ndio siku atakayokuwa anatundika Daruga...so utakuwa umechelewa Safina.
Gang Chomba.....hivi AC MILAN si club ya Italy?sijaona mchezaji wao hata mmoja aliyeitwa timu ya taifa!Juventus tumetoa wakali kama saba hivi ambao hao piga ua first eleven hawakosi na ndio wataleta ndoo Italy......
Goalkeepers: Buffon (Juventus), De Sanctis (Napoli), Sirigu (Paris St. Germain).
Defenders: Abate (Milan), Balzaretti (Palermo), Barzagli (Juventus), Bonucci (Juventus), Chiellini (Juventus), Maggio (Napoli), Ogbonna (Torino), Ranocchia (Inter).
Midfielders: De Rossi (Roma), Diamanti (Bologna), Giaccherini (Juventus), Marchisio (Juventus), Montolivo (Milan), Thiago Motta (Paris St. Germain), Nocerino (Milan), Pirlo (Juventus).
Forwards: Balotelli (Manchester City), Borini (Roma), Cassano (Milan), Destro (Siena), Di Natale (Udinese), Giovinco (Parma).
hiki ndio kikosi cha Buluda ngoma ngumu.
Kama ningekuwa mimi ningekipanga kama ifuatavyo...
Ningetumia mfumo wa 4:3:3
Golini ningemuweka Gigi Buffon.
mabeki:
2. Abate
3. Chielini
4. Ranocchia
5. Barzagli
viungo:
de rossi
Pirlo
Montolivo
Washambuliaji:
Di natale
Balotelli
Casano