Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

kifiro.........

janjaweed ukiwa na akili timamu huku ukishinikizwa na Gang Chomba nguli wa AC Milan nakushauri jitahidi uifute hiyo post yako kabla hakujapambazuka...

Najuwa ni furaha ya kombe ambalo hamjalipata kwa kununua marefa mpaka mkashushwa daraja.
 
Belo nyoosha habari.
Mtaje huyo Mlinzi,
unapokuja na habari pasipo kutaja muhusika unakuwa unafanya maisha ya wapenzi wa AC Milan kuzidi kuwa magumu.

Forza Milan
Nilisahau ni Alesandro Nesta
 
Belo nyoosha habari.
Mtaje huyo Mlinzi,
unapokuja na habari pasipo kutaja muhusika unakuwa unafanya maisha ya wapenzi wa AC Milan kuzidi kuwa magumu.

Forza Milan

vipi mkuu mara hii umeshasahau historia yenu? baada ya maldini kuondoka mlinzi huyo yuko mmoja tu! hakuna sababu ya kumtaja maana anajulikana.
 
janjaweed ukiwa na akili timamu huku ukishinikizwa na Gang Chomba nguli wa AC Milan nakushauri jitahidi uifute hiyo post yako kabla hakujapambazuka...

Najuwa ni furaha ya kombe ambalo hamjalipata kwa kununua marefa mpaka mkashushwa daraja.

naona unarudi kwenye historia ila ndio hivyo mavi ya kale hayanuki, bingwa wa sasa sio milan - ni timu ya pirlo i.e. juve!
 
forza juve the grandma of turin kwa kuinua kwapa kwandoo yamara 30 ya serie a
 
Hili ni kombe la 28.
Yale mawili aliondoka nayo transfer guru Luciano Moggi coz yeye ndie aliyeyatolea jasho.
 
Seedorf could stay at AC Milan

16 May 2012

Veteran midfielder Clarence Seedorf insists he has no intentions of retiring and could stay at AC Milan.

The 36-year-old said before last Sunday's game against Novara that it would be his last game for the Serie A club, and reports from Brazil had suggested he was on the verge of joining Botafogo.

However, Seedorf appears to have changed his mind and could now remain at the San Siro club.

"I do not rule anything out, not even staying at Milan. I am taking a week to think about it and make a decision calmly," he told La7.

"I will definitely not retire, though. I want to play for two or three more years."

Seedorf's contract with Milan is due to expire in June.

He joined AC Milan in 2002 after previous stints with city rivals Inter, Real Madrid, Sampdoria and Ajax.
 
wachezaji bana hana tofauti na Hazard wa Lille..
 
Hii Habari kwa kuwa yupo Saint Gaucho ndio maana umeibandika hapa...
we siku utakayosadiki kuwa Dinho ni Mbarikiwa basi ndio siku atakayokuwa anatundika Daruga...so utakuwa umechelewa Safina.
 
dinho alikuwa mahiri ila ni enzi hizo, za historia ya kale - kwa sasa ni dinosari wa tendaguru!
 
The Daily Mail has reported that Alex Ferguson is considering a shock move for AC Milan’s Kevin-Prince Boateng in his recurring conquest to strengthen his midfield.

With names such as Hazard, Kagawa, and the constant rumours of Sneijder all being brought up to play in the attacking midfield position which Ferguson wants to fill, the transfer of Kevin-Prince Boateng would certainly raise a lot of eyebrows.

Although Boateng has shown some sensational ability in the Champions League games, impressing the rest of Europe, he is very injury prone and as a result has missed around half of all of AC Milan’s games.

However, scoring 9 goals in 27 games is a great record for any midfielder and would certainly attract the eyes of Sir Alex, and his price tag would certainly please the owners too.

His current wage is £30,000 which is 10% what Eden Hazard is reportedly wanting to earn after he confirmed that his 3 potential clubs are: Manchester City, Manchester United and Chelsea.

So whilst the 25 year old would definitely be cheaper than the alternatives, does this mean people should expect less from him?

Technically yes. Shinji Kagawa is rumoured to be the top of United’s transfer hopes, and there is a good reason for that in comparison to players such as Boateng. Whilst Boateng has received 3 yellow cards and 2 red cards in his 19 Serie A games, Kagawa has only received 1 yellow card this season, in 40 appearances.

Not only this but Kagawa has a higher successful pass percentage by 5% in comparison to Boateng. Finally, Kagawa has been involved in 25 of Dortmund’s goals this season including assists, compared to Boateng’s 13.

There is no doubt that Boateng is a great player for AC Milan and would be much more affordable, but if Fergie should purchase him remains debatable.
 
Gang Chomba.....hivi AC MILAN si club ya Italy?sijaona mchezaji wao hata mmoja aliyeitwa timu ya taifa!Juventus tumetoa wakali kama saba hivi ambao hao piga ua first eleven hawakosi na ndio wataleta ndoo Italy......
 
Last edited by a moderator:

Casano hujamuona mle?
Nocelino?
Abate?
Montolivo?
 
Last edited by a moderator:
Goalkeepers: Buffon (Juventus), De Sanctis (Napoli), Sirigu (Paris St. Germain).

Defenders: Abate (Milan), Balzaretti (Palermo), Barzagli (Juventus), Bonucci (Juventus), Chiellini (Juventus), Maggio (Napoli), Ogbonna (Torino), Ranocchia (Inter).

Midfielders: De Rossi (Roma), Diamanti (Bologna), Giaccherini (Juventus), Marchisio (Juventus), Montolivo (Milan), Thiago Motta (Paris St. Germain), Nocerino (Milan), Pirlo (Juventus).

Forwards: Balotelli (Manchester City), Borini (Roma), Cassano (Milan), Destro (Siena), Di Natale (Udinese), Giovinco (Parma).

hiki ndio kikosi cha Buluda ngoma ngumu.
Kama ningekuwa mimi ningekipanga kama ifuatavyo...
Ningetumia mfumo wa 4:3:3

Golini ningemuweka Gigi Buffon.

mabeki:
2. Abate
3. Chielini
4. Ranocchia
5. Barzagli

viungo:
de rossi
Pirlo
Montolivo

Washambuliaji:
Di natale
Balotelli
Casano
 
Wapi marchisio na bonnuci!hhahahh!buluda wako kamili kurudisha heshima mwaka huu!miaka yote italy husifika kwa ngome ngumu sasa kwa kikosi hiki naona wapishi wako sawa manake de rossi,montolivo na fundi pirlo hawahitaji maneno mengi kuwaelezea hapo katikati!ballotenga,cassano na di natale kazi ni kutupia tu huku giovinco akisubiri sub!...ndoo italiano mwaka huu
 
Back
Top Bottom