rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Milan waachane na mambo ya historia timu yetu ilianza kurudi kwenye form lakini kitendo cha kuwauza Thiago silva na kushindwa kutafuta replacement kitaendelea kuwagharimu tumesajili wachezaji wengi lakini hawana ubora mmiliki wetu anatumbua pesa nyingi kwa vimada badala ya kuwekeza kwenye timu wanasingizia sheria ya uefa wakati psg na chelsea wamefanya kinyume uongozi umejisahau na kuridhika na mafanikio ya kipindi cha nyuma wachezaji wengi waliopo hawastahili milan ilikuwa timu bora idara zote lakini angalia wachezaji kama abate,antonini wengi walitakiwa wawe pale kujifunza kwa wachezaji mahiri ili watakapopata nafasi waonyeshe umahiri wao.
milan ili offload wachezaji wengi kwa namna nyingine iliokoa pesa nyingi za mishahara kwani wengi walikuwa wachezaji wa kiwango cha juu hatukuhitaji kusajili wachezaji wengi wachache wenye ubora badala ya kuwa na wachezaji wengi wasiokuwa na ubora wa kuchezea Milan na pia tunahitaji kocha wa kiwango cha juu kocha tuliyenaye haimudu hii timu tusimlinganishe na arrigo sachi