Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #621
juve wanaitafuta mpira kwa tochi, koloboi, kalabai na chemli...kwi kwi kwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ac Milan wamembahatisha tu Juventus chama langu la Italy.
teh teh teh hongera forza AC Milan :becky:Pazi hata mimi ningekaa kipa wa Milan sidhani kama Juve mngeshinda...
Fine primo tempo, il Milan avanti 1-0 con gol su rigore
di Robinho (30')
Haya bwana,wapi hiyo mitaa ya kina Ignazio Abate,Montolivo au Nocerino?ikicheza ugenini klabu ya AC Milan wameweza kuichapa klabu ya Catania kwa jumla ya Magoli 3-1.
Magoli ya AC Milan yaliwekwa kimiani na mshambuliaji hatari Stephan Elshaarawy kisha Kelvin Prince Boateng akafunga goli la pili na goli la 3 likafungwa tena na Elshaarawy wakati lile la kufutia machozi la Catania lilifungwa na Nicola Lecogretaglie.
Kwa ushindi huu sasa Milan wanajikusanyia jumla ya pointi 21 na kushika nafasi ya 7 huku wakiwa nyuma kwa pointi 11 dhidi ya vinara Juve ambao wiki iliopita walikalishwa kwenye kibao cha mbuzi na kukubali kupigwa bao moja dhidi ya watemi hawa wa jiji la Milan.
Forza Milan
naombea kwenye hatua ya mtoano milan wapangwe na timu za ujerumani au uingereza..teh..teh..aibu!spain sijazitaja maana huo utakuwa udhalilishaji wa kiviwango!
Haya bwana,wapi hiyo mitaa ya kina Ignazio Abate,Montolivo au Nocerino?
Msimu uliopita nilipiga Arse4 ya uingereza goli 4...
Na kwa taarifa zilizothibitishwa ni kuwa hivyo vitimu vya ujerumani kwa AC Milan ni kama Ng'ombe kwa Mmasai.
Fuatilia Inzaghi peke yake keshamnanihii Oliver Kahn na Bayern mara ngapi?
Halafu mna viover rated vitimu vya ujerumani ambavyo ndani ya miaka 20 vimebeba champions league mara mbili...97-2001...