Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #681
Hao AC Milan yako ishakula bao kwa FC Malaga ktk hatua ya makundi,sina wasiwasi na waitaliano kwa sasa mimi na FC Barcelona au Lafuria Roja wameshika namba 2 nyum,a yao,walishinda 4-1 san siro wakaenda kulala 4-0 kwa deportivo la coruna javier irureta,na AC Milan ilikuwa kama bingwa mtetezi uefa champs ligi wakavuliwa,ngoja nikutafutie bao zuri la Luque ambae alimvisha kanzu maridadi Cafu na kupiga bao safi yaani kama ingekuwa ni mwingereza basi ingekuwa breaking news siku zile.
ila ya 4-0 aliyochezea Barca katika Fainali mwaka 1994 huyazungumzii...dah we kweli ni Gutierez