Home of AC Milan, Official Thread

ila ya 4-0 aliyochezea Barca katika Fainali mwaka 1994 huyazungumzii...dah we kweli ni Gutierez
 
Teh teh teh haya mkuu.
 
Kaisha, sasa anafikiria kuchezea timu ndogo kama Blackburn!

kwi kwi kwi dah Gaucho ashaufanyia mpira mambo makuuuubwa mno....
Siasi kwamba mpira hauna unachomdai.
Na kama kuna shabiki wa Soka hajawahi kuona miujiza ya mtakatifu Gaucho basi huyo ausubiri Moto wa Jehanam tu.
 
Dinho awapo uwanjani basi hata Malaika huko Mbinguni huwa wanamshangilia...
 
Dinho awapo uwanjani basi hata Malaika huko Mbinguni huwa wanamshangilia...

Ooops Companero anakutafuta ... .... .... kuna thread amefungua rasmi kwa ajili yako .. .... .. na yule jamaa anayeshabikia timu za vichochoroni.

Ooops Companero anakutafuta ... .... .... kuna thread amefungua rasmi kwa ajili yako .. .... .. na yule jamaa anayeshabikia timu za vichochoroni.

Anaona aibu kubishana na ukweli aliouweka wazi mkongwe Maldini!
 
Ooops Companero anakutafuta ... .... .... kuna thread amefungua rasmi kwa ajili yako .. .... .. na yule jamaa anayeshabikia timu za vichochoroni.

Wacha1 nimeiona...teh teh ana nongwa na Milan na wooote waliopitia ama kuwepo Milan huyo.
 
Sneijder to join AC Milan...
Source Tuttosport Friday, January 4, 2013 08:08 Wesley Sneijder could look to have his contract
terminated at Inter in order to force through a
move to AC Milan, but the Nerazzurri are
understandably intent on blocking any such
move.
 
Bao 1 safi la kichwa nilishuhudia kwa macho yangu wala sikuhadithiwa lilifungwa na Bojan Krkic Perez kwa krosi iliyopigwa na Prince Boateng.

Hah hah haaah Gutierez umesahau kumalizia Bojan kinda aliekulia Barca
 
Hah hah haaah Gutierez umesahau kumalizia Bojan kinda aliekulia Barca
Yaani ile mitaa ya linyola alipozaliwa a.k.a mwananyamala jijini barcelona,ilikuwa ni furaha na hawakosi kuangalia gemu za ac milan kumuangalia kinda wao mwenye asili ya serbia wazazi wake,yaani ukirindima kila siku habari zake Chomba utakabidhiwa jiko bure kama Vicente Del Bosque Gonzalez alipompa Fernando Redondo binti wake bure kwa chenga aliyompiga Henning Berg mwaka 2000 old trafford uefa champs ligi Man Utd vs Real Madrid,ngoja tujikumbushe japo samahani kwa kuwatonesha donda mashabiki fulani
Real Madrid vs Man U - so incredible REDONDO !!! - YouTube
 
The happiest moment in the world is when Juve
celebrated the Serie B winner and we celebrated
the Champions League winner in 2007
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…