Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #741
round ya kwanza mlikufa tatu sijui balo45 kesho atazirudi maana jamaa yupo on fire hatare...
FARAO...
The young forward, who has been in fine form for
the Rossoneri this season, has committed his future
to the club, inking a new contract which expires in
2018
baada ya kukosa soko/wateja
Nani aliemtaka huyo dogo?
Acha kubashiri bwana mdogo...
FULL TIME: MILAN 3 - 0 LAZIO. Massimiliano Allegri's outfit continue their push
up the Serie A table with an emphatic victory over the Biancocelesti and carry
on their unbeaten start to 2013. Lazio's cause was certainly not helped by
Antonio Candreva's first half red card and they were made to pay with a
double from Giampaolo Pazzini and one from Kevin Prince Boateng. Milan
leapfrog their opponents and go up to third!
Wewe si kuna wakati ulikuwa unapekua magazeti kutafuta kama kuna habari za kujiuzulu ama kufukuzwa kwa Massimiliano Allegri? Sasa amekuwa shujaa. Kweli binadamu kigeugeu kama Mwamba Geu!