Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #781
Kipa wa timu inayoshuka daraja!
Hivi lina AC itaacha kusajili makapi?
.
Ni kipa mzuri sana.
Tusingeweza kumsajili alipokuwa anatoka Inter...
So kwa sasa tutaweza msajili pasipo na rabsha yoyote, tena tunaweza kuwatuma hata Genoa wakamsajili wao kwa bei chee kisha sisi tutamchukua kwa mkopo then nxt tutamsajili mazima kama tulivyofanya kwa Boateng.
Hata Manchester UTD walimchukua Van De Saar akitokea Fulham.
Kwanini wao hawakumchukua pindi alipokuwa anatoka Juve?
Companero unaniangusha ndugu yangu