Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
-
- #781
Kipa wa timu inayoshuka daraja!
Hivi lina AC itaacha kusajili makapi?
.
Ni kipa mzuri sana.
Tusingeweza kumsajili alipokuwa anatoka Inter...
So kwa sasa tutaweza msajili pasipo na rabsha yoyote, tena tunaweza kuwatuma hata Genoa wakamsajili wao kwa bei chee kisha sisi tutamchukua kwa mkopo then nxt tutamsajili mazima kama tulivyofanya kwa Boateng.
Hata Manchester UTD walimchukua Van De Saar akitokea Fulham.
Kwanini wao hawakumchukua pindi alipokuwa anatoka Juve?
Companero unaniangusha ndugu yangu
Kama ilivyokuwa kwa Mbrazili mwenzake Ronaldinho, alikuwa mzuri, sasa amekwisha (makapi) ndio maana anachezea timu ya vibonde
Dhambi nyingine za kujitakia...
Hebu nkuache
timu kubwa kibao makipa wao wachovu ina maana hizo timu hazimuoni julio?
forza Milan...
Allegri ni wa kutimua hakuna alilofanyaZapata:
Allegri deserves credit for Milan revival...
The Colombian defender believes his boss is behind the Rossoneri's resurgence since
Christmas and has underlined the importance of finishing third in Serie A
Allegri ni wa kutimua hakuna alilofanya
Juventua a.k.a old lady ajuza bibi kizee bingwa serie A(31 Titles)
Kumbe sikujua wamejumlisha na ule 2207 wakati wewe unashangilia UEFA Champions ligi wao wanashangilia SErie B,maana nilipoona hii picha nikadhani ni 31 Juventus Repeats as Serie A Champion - NYTimes.com31?
Unahesabia na ubingwa ule wa ligi daraja la kwanza waliounyakuwa baada ya kushushwa ligi kuu kufuatia adhabu iliotokana na mchezo wao wa kupanga matokeo?