jamani tukubali kuwa Rafael Banitez amekuja kuiboost seria A. Ushindi wa jana dhidi ya bianconeri ni kudhihirisha kuwa jamaa wapo vizuri. Timu za inter na juve nazo zijiandae kunyolewa. Ahsante Banitez, Forza napol

Milan wanatokea dirishani, baada ya kuwa nyuma kwa 3-1 dhidi ya Bologna mpaka dk ya 85. Goals from Robinho dk 85 na Abate 90+2 yameiokoa milan isipate kipigo cha pili mfululizo. Ndugu yangu Mourinho alipata kusema hapa kuwa magoli ya jioni yataigharimu Milan. Mkuu Gang Chomba utakuja kufa kwa pressure! Kwa nini usiwe kama Ngongo aliyehama kutoka arsenal na kwenda Man united kupunguza magonjwa kama pressure,kukonda nk?

Huo ugomvi ulioanzisha utauweza? Team ni kama kabila, unaweza kuhama kabila lako?
mimi mwenyewe nimeamia liverpool kutoka st james park. Timu niliyoipenda tangu enzi za kina Ginola na Asprila. Nimeama mwaka jana na kujiunga na livepool ingawa cjaweka hadharani kama Ngongo.
Aseee, ile ya kina Les Ferdinand, Rob Lee, Peter Beardsley, Shaka Hislop, chini Kelvin Keegan?
Milan leo wanakipiga na machampion 2 b NAPOL kwenye dimba la san siro. Napol haijawahi kuifunga Milan kwenye dimba la san siro tangu mwaka 1986. Mwiko unaoenda kuvunjwa leo usiku. Tukutane pale san siro
Pakawa na kiumbe wa kuitwa Timuli Ketsbaia...
Pakawa na kiumbe wa kuitwa Timuli Ketsbaia...
mtatajaa lakini magolikipa walikuwa wanaomba dua ili wakikutana na Shearer atumie miguu kupiga mashuti siku hiyo,asitumie KICHWA!
Haya sasa nini juve2012, kama sio kumchokoza mwenzako mwenye 'kihoro'?
Huyo kiumbe alitukuka kwa kweli, kumkimbiza Ferdinand wakati akiwa bwa mdogo tu, si kitu kidogo ati.
Ila nilisikitika kuondoka kwa zile mtu mbili, Ginola na Ferdinand, kama wangebaki, Shearer acheze 9, Les 10, David 11 na Asprilla 7, labla tungekua tunaongea mengine leo!
wewe ulitaka Ferguson asiwe maarufu leo badala yake awe Bobby Robson na Keegan?
Huyo kiumbe alitukuka kwa kweli, kumkimbiza Ferdinand wakati akiwa bwa mdogo tu, si kitu kidogo ati.
Ila nilisikitika kuondoka kwa zile mtu mbili, Ginola na Ferdinand, kama wangebaki, Shearer acheze 9, Les 10, David 11 na Asprilla 7, labla tungekua tunaongea mengine leo!
Umenikumbusha the 4-3 epic from 1996 kati ya Newcastle na Liverpool ambapo karibia wachezaji uliowataja hapo juu walicheza. It was one of the most entertaining game, including even the commentators.
"Barnes, Rush, Barnes, still Jone Barnes....Collymore closing in...He has won it in stoppage time!
Kevin Keegan hangs his head... He's devastated!....."
Siyo kama Garry Neville alivyo-screem kwenye lile goli la Torres dhidi ya Barcelona as if he was reaching an orgasm.
[video=youtube_share;gwCDYc-r3iI]http://youtu.be/gwCDYc-r3iI[/video]
Hii mechi iliwauma sana akina Allan Sherear kiasi kwamba hata baada ya wachezaji waliocheza kwenye ile mechi kustaafu, bado waliomba mechi irudiwe kwa wachezaji wale wale. Makocha walikuwa wale wale.
Hata Hivyo Newcastle walifungwa tena bao 4-1: Alan Shearer plays Newcastle United and Liverpool Entertainers Reunited | Mail Online
cc Ziroseventytwo
Mkuu correct me if am wrong, but wakati mtanange huu ukipigwa Shearer alikua bado Blackburn, the rest waliotajwa walikuwepo na walifunga magoli kwa upande wa Newcastle, Ferdinand, Ginola na Asprilla
Ni match ambayo ilitunukiwa tuzo ya match bora ya decade, commentators wakiwa kina Andy Gray na 'the best commentator of all time" Mr. Martin Taylor ambaye mpaka leo anapiga mzigo huku mwenzake akiwa Chief Analyst wa Al Jazeera Sport kwenye upande wa soccer
Keegan alificha kichwa chake kwenye mbao ya matangazo baada ya ule mkwaju wa Stan Collymore.
Hahahaaaaaa, hiyo ya Garry Neville nimecheka sana, alikua kama 'anakuja'? Hahahahaaaaa