Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

jamani tukubali kuwa Rafael Banitez amekuja kuiboost seria A. Ushindi wa jana dhidi ya bianconeri ni kudhihirisha kuwa jamaa wapo vizuri. Timu za inter na juve nazo zijiandae kunyolewa. Ahsante Banitez, Forza napol

Ushindi dhidi ya Rosoneri sio Bioncaneri,mara ya mwisho Napoli kushinda Milan ilikuwa 1986
 
jamani tukubali kuwa Rafael Banitez amekuja kuiboost seria A. Ushindi wa jana dhidi ya bianconeri ni kudhihirisha kuwa jamaa wapo vizuri. Timu za inter na juve nazo zijiandae kunyolewa. Ahsante Banitez, Forza napol

Tafadhali bana, hebu fanya marekebisho kwenye post yako, Benitez aifunge Bianconeri?
 
Milan wanatokea dirishani, baada ya kuwa nyuma kwa 3-1 dhidi ya Bologna mpaka dk ya 85. Goals from Robinho dk 85 na Abate 90+2 yameiokoa milan isipate kipigo cha pili mfululizo. Ndugu yangu Mourinho alipata kusema hapa kuwa magoli ya jioni yataigharimu Milan. Mkuu Gang Chomba utakuja kufa kwa pressure! Kwa nini usiwe kama Ngongo aliyehama kutoka arsenal na kwenda Man united kupunguza magonjwa kama pressure,kukonda nk?
 
Last edited by a moderator:

Huo ugomvi ulioanzisha utauweza? Team ni kama kabila, unaweza kuhama kabila lako?
 
ndugu zangu mie nipo na kihoro moyoni...
Maana hili jukwaa la michezo ndo jukwaa langu
boora kabisa ambalo huwa nakuwa nalo huru
pindi tu napoingia JF... Lakini hii AC Milan inavyonitenda najiona kama
nina RB na sitakiwi kukanyaga humu. Ila dah wanasema ''Mswahili lake Sokoni, na
Muungwana lake rohoni''...mie mwanakwetu
langu rohoni. Nina imani soon ntarudi katika winning truck...
 
Last edited by a moderator:
Huo ugomvi ulioanzisha utauweza? Team ni kama kabila, unaweza kuhama kabila lako?

mimi mwenyewe nimeamia liverpool kutoka st james park. Timu niliyoipenda tangu enzi za kina Ginola na Asprila. Nimeama mwaka jana na kujiunga na livepool ingawa cjaweka hadharani kama Ngongo.
 
Last edited by a moderator:
mimi mwenyewe nimeamia liverpool kutoka st james park. Timu niliyoipenda tangu enzi za kina Ginola na Asprila. Nimeama mwaka jana na kujiunga na livepool ingawa cjaweka hadharani kama Ngongo.

Aseee, ile ya kina Les Ferdinand, Rob Lee, Peter Beardsley, Shaka Hislop, chini Kelvin Keegan?
 
Last edited by a moderator:
Milan leo wanakipiga na machampion 2 b NAPOL kwenye dimba la san siro. Napol haijawahi kuifunga Milan kwenye dimba la san siro tangu mwaka 1986. Mwiko unaoenda kuvunjwa leo usiku. Tukutane pale san siro

we jamaa jina lako la ubini ni nani?ninahisi ni BIN YAHYA!
 
mtatajaa lakini magolikipa walikuwa wanaomba dua ili wakikutana na Shearer atumie miguu kupiga mashuti siku hiyo,asitumie KICHWA!

Huyo kiumbe alitukuka kwa kweli, kumkimbiza Ferdinand wakati akiwa bwa mdogo tu, si kitu kidogo ati.
Ila nilisikitika kuondoka kwa zile mtu mbili, Ginola na Ferdinand, kama wangebaki, Shearer acheze 9, Les 10, David 11 na Asprilla 7, labla tungekua tunaongea mengine leo!
 
Haya sasa nini juve2012, kama sio kumchokoza mwenzako mwenye 'kihoro'?

aah,nashukuru kunikumbusha,kumbe tupo "Mwaisela"hapa,hatutakiwi kupiga kelele kuna wagonjwa,haya ngoja nirudi kwetu kule juve thread,mie napaita MGM GRAND ARENA,watu wanapochakazwa!ila homa inanipanda,Galatasaray!
 
Last edited by a moderator:
Huyo kiumbe alitukuka kwa kweli, kumkimbiza Ferdinand wakati akiwa bwa mdogo tu, si kitu kidogo ati.
Ila nilisikitika kuondoka kwa zile mtu mbili, Ginola na Ferdinand, kama wangebaki, Shearer acheze 9, Les 10, David 11 na Asprilla 7, labla tungekua tunaongea mengine leo!

wewe ulitaka Ferguson asiwe maarufu leo badala yake awe Bobby Robson na Keegan?
 
Mkuu bado upo huku? Me nisharudi nyumbani Mkuu na huu mjadala nadhani unafaa upate uzi wake, upate michango ya wengi, kina EMT na wengineo, au unaonaje?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Huyo kiumbe alitukuka kwa kweli, kumkimbiza Ferdinand wakati akiwa bwa mdogo tu, si kitu kidogo ati.
Ila nilisikitika kuondoka kwa zile mtu mbili, Ginola na Ferdinand, kama wangebaki, Shearer acheze 9, Les 10, David 11 na Asprilla 7, labla tungekua tunaongea mengine leo!

Umenikumbusha the 4-3 epic from 1996 kati ya Newcastle na Liverpool ambapo karibia wachezaji uliowataja hapo juu walicheza. It was one of the most entertaining game, including even the commentators.

"Barnes, Rush, Barnes, still Jone Barnes....Collymore closing in...He has won it in stoppage time!

Kevin Keegan hangs his head... He's devastated!....."

Siyo kama Garry Neville alivyo-screem kwenye lile goli la Torres dhidi ya Barcelona as if he was reaching an orgasm.

[video=youtube_share;gwCDYc-r3iI]http://youtu.be/gwCDYc-r3iI[/video]

Hii mechi iliwauma sana akina Allan Sherear kiasi kwamba hata baada ya wachezaji waliocheza kwenye ile mechi kustaafu, bado waliomba mechi irudiwe kwa wachezaji wale wale. Makocha walikuwa wale wale.

Hata Hivyo Newcastle walifungwa tena bao 4-1: Alan Shearer plays Newcastle United and Liverpool Entertainers Reunited | Mail Online

cc Ziroseventytwo
 
Mkuu correct me if am wrong, but wakati mtanange huu ukipigwa Shearer alikua bado Blackburn, the rest waliotajwa walikuwepo na walifunga magoli kwa upande wa Newcastle, Ferdinand, Ginola na Asprilla

Ni match ambayo ilitunukiwa tuzo ya match bora ya decade, commentators wakiwa kina Andy Gray na 'the best commentator of all time" Mr. Martin Taylor ambaye mpaka leo anapiga mzigo huku mwenzake akiwa Chief Analyst wa Al Jazeera Sport kwenye upande wa soccer

Keegan alificha kichwa chake kwenye mbao ya matangazo baada ya ule mkwaju wa Stan Collymore.

Hahahaaaaaa, hiyo ya Garry Neville nimecheka sana, alikua kama 'anakuja'? Hahahahaaaaa
 
Yea alikuwa bado Blackburn, lakini he was a Toon die hard fan.

Baada ya ligi kumalizika nakumbuka Keegan alijiuzulu lakini akakataliwa. His team was extremely good, with very good players na msimu uliofutia alisaini mchezaji mmoja tuu in Alan Shearer. Bado ilikuwaje Newcastle walishidwa kuchukuwa ubingwa msimu ule.

Baada ya ile mechi mpaka Steppl Blatter alimtumia Kegan fax for "the positive attitude [he] bring to our game."

Hata hivyo, baada ya ile mechi meneja wa Liverpool alisema kuwa no team could "win the championship playing like that".

Na kweli Newcastle hawakuchuwa ubingwa.

Andy Gray yuko passionate sana. Unakumbuka goli la Robert Pires dhidi ya Aston Villa? Alimwambia "take a bow son". It was back then when world-class goals were matched by world-class commentary: http://www.youtube.com/watch?v=ELbLywum6ug

Sasa kuhusiana na ile orgasm ya Garry Neville dhidi ya goli la Torres kuna watu wamechakachua ile video na kumfanya Garry afike kileleni wakati Torres alipowafunga Man Utd huku akimwacha Vidic chini. Halafu Garry alicheza hii mechi.

[video=youtube_share;wlCgRp43HR U]http://youtu.be/wlCgRp43HRU[/video]

Ngoja nisepe kimtindo mwenye thread asije kunitwanga mangumi hapa kwa kuchakachua thread yake.

[video=youtube_share;aodh09ptgMk]http://youtu.be/aodh09ptgMk[/video]
 
Kuna rumors kuwa Allegri anawezatimuliwa na kuwa re-placed na Hiddink ama Rijkaard. Time will tell
 
Back
Top Bottom