ndugu zangu mie nipo na kihoro moyoni...
Maana hili jukwaa la michezo ndo jukwaa langu
boora kabisa ambalo huwa nakuwa nalo huru
pindi tu napoingia JF... Lakini hii AC Milan inavyonitenda najiona kama
nina RB na sitakiwi kukanyaga humu. Ila dah wanasema ''Mswahili lake Sokoni, na
Muungwana lake rohoni''...mie mwanakwetu
langu rohoni. Nina imani soon ntarudi katika winning truck...
Kama kawa,jogoo kasinzia dk ya 90,mkapigwa goli,ya 93 jogoo akawika kookolikoo,mkaambulia draw tena ile penati aliyefanya madhambi ni Balloteli,refa kawanyima Ajax akawapa Milan!
Leo uncle Festa kavaa msuli bila boksa dondola wa Ajax akakosea njia kaingia ndani ya msuli,..watu wanamuona uncle festa anaruka ruka kama mmasai.. kwi kwii!
...sheikhe cjui yupo katika hali gani? Anaitaji uangalizi jamani!
Kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwa kwaaaaaaaaaaa!!!!!
salamu kutoka kwa companero, anasema pole sana, kila la heri kwenye jukwaa la mapishi
...sheikhe cjui yupo katika hali gani? Anaitaji uangalizi jamani!
nakuambia kaka hili jamvi la Milan siku hizi limekuwa wodi ya Mwaisela!
Ada ya mja kunena...
So nena mwanakwetu, maana ndio ada yako hiyo.
Nawe wajificha sana mwanakwetu, najua unawakosa kina Montolivo, Farao na Super Mario lakini kujificha kwako ni mithili ya mbuni!
MAGAZETI YA LEO ITALIA...
Gazetto dello sport...
Signora Scipatta
Signora tipped
Il Corriere dello sprt...
Ira JUVE ma ora e dura
Juve are, but now becomes difficult
Tutto sport...
Juve a testa alta la' britro NO
Juve with their heads held high...not the refferee
Mourinho bhana! Jana niliogopa kuweka coment hapa nisije kuonekana kiherehere... Kiukwe bwa'mkubwa, ana hali mbaya. Mechi 10 alama 11, Alegri timu ishamshinda na muda c mrefu ataonyeshwa mlango wa kutokea. Poleni Milan, pole kaka mkuu Gang Chomba.Magazeti ya leo yanasemaje? Au hayajatoka?
"Parma climbed above Milan and into seventh place, while a fourth league defeat of the season leaves the Rossoneri in 10th and 11 points short of the Champions League places"
cc; juve2012, Belo, Ziroseventytwo