Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,606
- 1,711
ndugu zangu mie nipo na kihoro moyoni...
Maana hili jukwaa la michezo ndo jukwaa langu
boora kabisa ambalo huwa nakuwa nalo huru
pindi tu napoingia JF... Lakini hii AC Milan inavyonitenda najiona kama
nina RB na sitakiwi kukanyaga humu. Ila dah wanasema ''Mswahili lake Sokoni, na
Muungwana lake rohoni''...mie mwanakwetu
langu rohoni. Nina imani soon ntarudi katika winning truck...
salamu kutoka kwa companero, anasema pole sana, kila la heri kwenye jukwaa la mapishi