Home of AC Milan, Official Thread

Ac Milan mnashika nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa League????
 
Naona Ac Milan washabahatisha goli la kwanza kwa Atalanta jisogezeni ila mtaalamu wenu anaongoza ligi Juventus.
 
Kuna uwezekano Ac Milan tukawakosa UEFA kubwa msimu ujao.
 
Sasa kama huamini katazame msimamo wa ligi ya Italia, lakini kwa sababu walishinda hivi juzi huenda imekuwa 19+3 = 22. Bado wanahitaji 49-22 = 27. Yaani bado kiasi cha pointi 27, juventus apoteze mechi tisa na Milani washinde mechi tisa bila kupoteza.
:A S 13:
Mkuu ya kweli haya????
 
Kaka jana kafunga goli la 101 kwa Klabu yake kipenzi ya il'Diavolo.
 
Hongera Gang Chomba, ila safari bado ndefu. Huenda itafaa kufukuzia "UCL" kwa sababu inaonekana Juventus, ligi ya nyumbani ni kama milki yao. AC Milan wazingatie UCL. Ligi imeshakuwa "too late too little."

bora azingatie Ligi kuliko UCL.
 
bora azingatie Ligi kuliko UCL.

UCL mechi chache kulinganisha na ligi, tofauti ya JUVENTUS na AC MILAN ni kubwa sana. Inahitaji kuvuja jasho na damu ili kuwafikia achilia mbali kuwapita.
 
hata wakivuja jasho la gesi Milan hii hiwezi fika hata Nusu UCL.

Milan wapo mbioni kumsajili kiungo kisheti toka FC Porto.
Fernando anataraji kutua jiji la fashion siku za usoni.
 
Spalletti sets sights on AC Milan job The former Roma boss believes it's the perfect time
to take charge of the San Siro side and would be
happy to work with Mario Balotelli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…