Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
- Thread starter
- #1,181
kai honda amehamia ac milan na kuwa mjapani wa kwanza kuchezea milani..
Pia amefanikiwa kuichezea timu alioipenda tokea utotoni...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kai honda amehamia ac milan na kuwa mjapani wa kwanza kuchezea milani..
Ac Milan mnashika nafasi ya ngapi kwenye msimamo wa League????
Kho kho kho kho khoo!
Swali zuri
HALI HALISI(matokeo ya uwanjani):
1. Juventus = 49.
2. Roma = 41.
3. Napoli = 36.
4. Fiorentina = 36.
13. AC Milan = 19.
Mkuu ya kweli haya????
Kuna uwezekano Ac Milan tukawakosa UEFA kubwa msimu ujao.
Sasa kama huamini katazame msimamo wa ligi ya Italia, lakini kwa sababu walishinda hivi juzi huenda imekuwa 19+3 = 22. Bado wanahitaji 49-22 = 27. Yaani bado kiasi cha pointi 27, juventus apoteze mechi tisa na Milani washinde mechi tisa bila kupoteza.
:A S 13:
Kaka jana kafunga goli la 101 kwa Klabu yake kipenzi ya il'Diavolo.
Hongera Gang Chomba, ila safari bado ndefu. Huenda itafaa kufukuzia "UCL" kwa sababu inaonekana Juventus, ligi ya nyumbani ni kama milki yao. AC Milan wazingatie UCL. Ligi imeshakuwa "too late too little."
bora azingatie Ligi kuliko UCL.
hakuna kisichowezekana chini ya Jua...
Ni kweli kabisa, ndiyo maana nimesema "inahitaji kuvuja jasho na damu"
hata wakivuja jasho la gesi Milan hii hiwezi fika hata Nusu UCL.
hahahahaha huna kazi kwa Atletico Madrid kuvuka hapo,safari hii nyie na Man U(wazee wa 1-2) hamchekani.Wataingia kama mabingwa watetezi
hahahahaha huna kazi kwa Atletico Madrid kuvuka hapo,safari hii nyie na Man U(wazee wa 1-2) hamchekani.