SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,919
Prandelli to join AC Milan soon after the world cupFuraha yetu ni kutimuliwa kwa Allegri...
Prandelli to join AC Milan soon after the world cup
Kwa kweli Wazee wa Rossoneli mna hali mbaya sana....Sioni namna kumfukuza Allegri kama kutasaidia sana...
Alishasema Zerotwentytwo humu kuwa Tatizo la AC MILAN Mmejaza watu wa Udongo kwenye timu na Sio wachezaji....Angalia akina Zapata,Bonera,Sciglio,Christante......
Hata muwe na Conte,Seedorf kwenye benchi la ufundi hamfiki popote....
Siamini kama tofauti yenu na Timu inayoshika mkia Catania ni points 9 tu...Yaani Catania akishinda na Wewe kupoteza game 3 unakuwa wa Mwisho kwenye Ligi....
Chomba Timu huna limebaki Jina tu...Kama baharia wa Zamani alivyo na story za miji aliyotembelea wakati amepanga chumba kimoja Magomeni..
Kwani pachanya wewe sio mwenzake na Gang Chomba?
Yaani mkuu nishangilie timu ya mabahari hii...Si bora niwe Catania tu....
Huko Ulaya, team ya Blatter na wala hongo wenzake wa FIFA wametuletea kioja kingine
World XI: Neuer; Alves, Thiago Silva, Ramos, Lahm; Iniesta, Xavi, Ribery; Ronaldo, Messi, Ibrahimovic.
The self-proclaimed greatest league in the world - the Premier League - has a grand total of zero representatives.
Kwa kweli Wazee wa Rossoneli mna hali mbaya sana....Sioni namna kumfukuza Allegri kama kutasaidia sana...
Alishasema Zerotwentytwo humu kuwa Tatizo la AC MILAN Mmejaza watu wa Udongo kwenye timu na Sio wachezaji....Angalia akina Zapata,Bonera,Sciglio,Christante......
Hata muwe na Conte,Seedorf kwenye benchi la ufundi hamfiki popote....
Siamini kama tofauti yenu na Timu inayoshika mkia Catania ni points 9 tu...Yaani Catania akishinda na Wewe kupoteza game 3 unakuwa wa Mwisho kwenye Ligi....
Chomba Timu huna limebaki Jina tu...Kama baharia wa Zamani alivyo na story za miji aliyotembelea wakati amepanga chumba kimoja Magomeni..
Hizo tuzo siku hizi zimeshakuwa politics,nashangaa watu kama Alves,Xavi,Ramos wako kwenye hiyo timu.Nakumbuka msimu uliopita magarasa kama Pique,Ramos,Alves walikuwa kwenye hiyo timu
Furaha yetu ni kutimuliwa kwa Allegri...
naugulia maumivu ya kutoka Champions league mkuu.Juve wamenichefua sana,nimewasusa hadi hasira ziishe.Hiyo Scudetto nishaichoka bhana,we want something more prestigious.Juve wanaudhi mno tabia yao ya kufail kwenye ligi ya mabingwa,nimevumilia nimechoka,urafiki utarudi pale watakaporudia enzi za akina Angelo di livio.
Mkuu,Pamoja na yote hayo AC Milan inahitaji mabadiliko na Adriano Galliani naye huenda akaondoka muda si mrefu
Alegri alipaswa kufukuzwa Milan tangu msimu uliopita,kitu alichoniuzi ni kitendo cha kumuondoa Andrea Pirlo kwenye timu still akiwa kwenye form
Habari yako lakini Sheikh? Yashamwagika sasa, usilazimishe kuyazoa. Tumeboronga Ulaya lakini tuna kitu kinaweza kutufariji, Scudeto, na vijana wanastahili pongezi, kushinda mechi 11 mfululizo si jambo dogo.
pachanya kabla ya yote niambie wewe wa wapi? Milan, Napoli, Inter, halafu tutaendeleaKutolewa na timu kama Galatasaray na kiwango mlicho nacho Inauma sana...Yaani hata MILAN Na ubovu wote yupo 2nd Round....
Sasa tunawaangalia kama mpo Serious au mnataka hela kwa kuwauza viungo wenu wa ukweli....muendelee na Scudetto yenu
pachanya kabla ya yote niambie wewe wa wapi? Milan, Napoli, Inter, halafu tutaendelea
Mi mnazi wa Gunners sana....
Italy naipenda sana Ligi yao japokuwa sijawahi kupenda Sana club yeyote...Kwa sasa naanza Kuipenda Napoli...manake raha ya Ligi uwe na Upande..