Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

Prandelli to join AC Milan soon after the world cup

Seedorf 'to be named new Milan boss on Thursday'

AC Milan coach Massimiliano Allegri was fired on Monday following a series of dismal results for the seven-times European champions.

Italian media said Milan, languishing 11th in Serie A, were poised to gamble on their former midfielder Clarence Seedorf as his replacement even though the Dutchman has no previous coaching experience.

Reports said Seedorf, currently playing for Brazilian club Botafogo, would arrive in Italy on Thursday although the player himself told the newspaper he did not want to comment.
 
Kwa kweli Wazee wa Rossoneli mna hali mbaya sana....Sioni namna kumfukuza Allegri kama kutasaidia sana...
Alishasema Zerotwentytwo humu kuwa Tatizo la AC MILAN Mmejaza watu wa Udongo kwenye timu na Sio wachezaji....Angalia akina Zapata,Bonera,Sciglio,Christante......
Hata muwe na Conte,Seedorf kwenye benchi la ufundi hamfiki popote....
Siamini kama tofauti yenu na Timu inayoshika mkia Catania ni points 9 tu...Yaani Catania akishinda na Wewe kupoteza game 3 unakuwa wa Mwisho kwenye Ligi....
Chomba Timu huna limebaki Jina tu...Kama baharia wa Zamani alivyo na story za miji aliyotembelea wakati amepanga chumba kimoja Magomeni..
 
Last edited by a moderator:

Kwani pachanya wewe sio mwenzake na Gang Chomba?
 
Last edited by a moderator:
Huko Ulaya, team ya Blatter na wala hongo wenzake wa FIFA wametuletea kioja kingine
World XI: Neuer; Alves, Thiago Silva, Ramos, Lahm; Iniesta, Xavi, Ribery; Ronaldo, Messi, Ibrahimovic.

The self-proclaimed greatest league in the world - the Premier League - has a grand total of zero representatives.
 
hawa jamaa sasa hivi wamefulia mbaya, bora hata Manchester U.
 
Huko Ulaya, team ya Blatter na wala hongo wenzake wa FIFA wametuletea kioja kingine
World XI: Neuer; Alves, Thiago Silva, Ramos, Lahm; Iniesta, Xavi, Ribery; Ronaldo, Messi, Ibrahimovic.

The self-proclaimed greatest league in the world - the Premier League - has a grand total of zero representatives.

Hizo tuzo siku hizi zimeshakuwa politics,nashangaa watu kama Alves,Xavi,Ramos wako kwenye hiyo timu.Nakumbuka msimu uliopita magarasa kama Pique,Ramos,Alves walikuwa kwenye hiyo timu
 
Kwa kweli Wazee wa Rossoneli mna hali mbaya sana....Sioni namna kumfukuza Allegri kama kutasaidia sana...
Alishasema Zerotwentytwo humu kuwa Tatizo la AC MILAN Mmejaza watu wa Udongo kwenye timu na Sio wachezaji....Angalia akina Zapata,Bonera,Sciglio,Christante......
Hata muwe na Conte,Seedorf kwenye benchi la ufundi hamfiki popote....
Siamini kama tofauti yenu na Timu inayoshika mkia Catania ni points 9 tu...Yaani Catania akishinda na Wewe kupoteza game 3 unakuwa wa Mwisho kwenye Ligi....
Chomba Timu huna limebaki Jina tu...Kama baharia wa Zamani alivyo na story za miji aliyotembelea wakati amepanga chumba kimoja Magomeni..

Mkuu,Pamoja na yote hayo AC Milan inahitaji mabadiliko na Adriano Galliani naye huenda akaondoka muda si mrefu
Alegri alipaswa kufukuzwa Milan tangu msimu uliopita,kitu alichoniuzi ni kitendo cha kumuondoa Andrea Pirlo kwenye timu still akiwa kwenye form
 
Hivi juve2012 uko wapii? Viper je?

naugulia maumivu ya kutoka Champions league mkuu.Juve wamenichefua sana,nimewasusa hadi hasira ziishe.Hiyo Scudetto nishaichoka bhana,we want something more prestigious.Juve wanaudhi mno tabia yao ya kufail kwenye ligi ya mabingwa,nimevumilia nimechoka,urafiki utarudi pale watakaporudia enzi za akina Angelo di livio.
 
Hizo tuzo siku hizi zimeshakuwa politics,nashangaa watu kama Alves,Xavi,Ramos wako kwenye hiyo timu.Nakumbuka msimu uliopita magarasa kama Pique,Ramos,Alves walikuwa kwenye hiyo timu

kweli mkuu,politics kila kitu sasa,wanaharibu mpira,yaani hata upangaji wa makundi ya champions league ni politics tupu,haiwezekani kila siku fixture ni AC Milan vs Barcelona.
 
naugulia maumivu ya kutoka Champions league mkuu.Juve wamenichefua sana,nimewasusa hadi hasira ziishe.Hiyo Scudetto nishaichoka bhana,we want something more prestigious.Juve wanaudhi mno tabia yao ya kufail kwenye ligi ya mabingwa,nimevumilia nimechoka,urafiki utarudi pale watakaporudia enzi za akina Angelo di livio.

Habari yako lakini Sheikh? Yashamwagika sasa, usilazimishe kuyazoa. Tumeboronga Ulaya lakini tuna kitu kinaweza kutufariji, Scudeto, na vijana wanastahili pongezi, kushinda mechi 11 mfululizo si jambo dogo.
 
Mkuu,Pamoja na yote hayo AC Milan inahitaji mabadiliko na Adriano Galliani naye huenda akaondoka muda si mrefu
Alegri alipaswa kufukuzwa Milan tangu msimu uliopita,kitu alichoniuzi ni kitendo cha kumuondoa Andrea Pirlo kwenye timu still akiwa kwenye form

Pia Matatizo ya uongozi yanaiathiri sana MILAN Uwanjani...Inabidi nafasi ya Galliani Apewe mtu mwenye uwezo wa kutenganisha Uongozi wa club na performance ya timu uwanjani...Milan haivutii wachezaji wenye majina kutua tena kama zamani....
Kwa Kweli Mechi yao ya UCL na wale madogo wa Hispania CHOMBA Atahama jukwaa..
 
Habari yako lakini Sheikh? Yashamwagika sasa, usilazimishe kuyazoa. Tumeboronga Ulaya lakini tuna kitu kinaweza kutufariji, Scudeto, na vijana wanastahili pongezi, kushinda mechi 11 mfululizo si jambo dogo.

Kutolewa na timu kama Galatasaray na kiwango mlicho nacho Inauma sana...Yaani hata MILAN Na ubovu wote yupo 2nd Round....
Sasa tunawaangalia kama mpo Serious au mnataka hela kwa kuwauza viungo wenu wa ukweli....muendelee na Scudetto yenu
 
pachanya kabla ya yote niambie wewe wa wapi? Milan, Napoli, Inter, halafu tutaendelea
 
Last edited by a moderator:
pachanya kabla ya yote niambie wewe wa wapi? Milan, Napoli, Inter, halafu tutaendelea

Mi mnazi wa Gunners sana....
Italy naipenda sana Ligi yao japokuwa sijawahi kupenda Sana club yeyote...Kwa sasa naanza Kuipenda Napoli...manake raha ya Ligi uwe na Upande..
 
Last edited by a moderator:
Mi mnazi wa Gunners sana....
Italy naipenda sana Ligi yao japokuwa sijawahi kupenda Sana club yeyote...Kwa sasa naanza Kuipenda Napoli...manake raha ya Ligi uwe na Upande..

Kwa nini unaidharau Galatasaray? Unajua ina watu kama Drogba, Sneijder, Melo, Eboue, Hamit Antitop, kati yao kuna Champions League Winners
 
Kwa kweli Wazee wa Rossoneli mna hali mbaya sana....Sioni namna kumfukuza Allegri kama kutasaidia sana...
Alishasema Zerotwentytwo humu kuwa Tatizo la AC MILAN Mmejaza watu wa Udongo kwenye timu na Sio wachezaji....Angalia akina Zapata,Bonera,Sciglio,Christante......
Hata muwe na Conte,Seedorf kwenye benchi la ufundi hamfiki popote....
Siamini kama tofauti yenu na Timu inayoshika mkia Catania ni points 9 tu...Yaani Catania akishinda na Wewe kupoteza game 3 unakuwa wa Mwisho kwenye Ligi....
Chomba Timu huna limebaki Jina tu...Kama baharia wa Zamani alivyo na story za miji aliyotembelea wakati amepanga chumba kimoja Magomeni..

Mkuu hapo red Unampiga madongo kaka mkuu, story zake ni kusifia mafanikio yaliyopita. Utaskia ooh timu iliyopata mafanikio kuliko zote na story kibao. Milan kwa sasa ni sawa na jibwa kubwa lisilo na meno... Litamng'ata nani!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom