kwaaa kwa kwa kwaaaa...anapiga sarakasi huku kavaa "kibwaya" kwaa kwaa kwaaa!
Kwani nani asiyeijua ratiba Mpwa?
Sijui Akina Shifta wanasubiri galasa gani walisajili..teh teh..
Manake ndugu zao wamempata Vidic...Wanasubiri ile Mbuzi kafia kwa muuza supu...teh teh...
Kama kawa #milan wameangukia pua baada ya kukubali kipigo cha bao 1 kwa 0 toka kwa Udinese. Pole shifta,. Mimi naona bora mngemrudisha hata paulo maldini kuliko huyu wa sasa. Mnakumbuka kilichomkuta Allan Sheara pale newcastle baada ya kukubali kuchukua timu kimeo na mwisho aliishusha kule championship! Mpaka leo hataki ukocha tena. Ndicho kitakacho mpata Seedorf.
Leo timu ya mwisho ya Italy ndio inaaga Rasmi UCL..
ada ya mja kunena
Leo Milan mkipita ndo nitaamini kwenye mpira kweli kuna bahati.
Dk 45 ni nyingi sana kwenye soccer, Super Mario ana goli lake
Shifta anadai kaweka Laki 5 kwa Milan....teh teh
Essien anapokonywa mpira kizembe Watu wanafunga....Hawa wachezaji wa mafungu bana...
Doh....!
Naona unaangalia kandanda mkuu la Milan..teh teh
Jahazi lishazama hili tena....Sijui tutawaona lini tena Milan kwenye Michuano hii...
Swali gumu sana hilo Mkuu ila nadhani itakua kwenye msimu wa 2015/2016