Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

hah hah hah haya mkuu...
Ila soob ntarudi na ID langu lile lililozoea kupigwa ban

Poa mdau, ila kule waachie wenyewe kina Riz1 na wenzie, kuna siku nilizinguana na Le mutuz nikaamua kumpotezea baada ya kuona tunaelekea kwenye ban maana ushabiki wao mwingine wa ajabu.
 
Nyie wanasiasa mna tabu kweli, katika majukwaa naweza maliza mwezi sijaingia ni la siasa, la dini sijui toka mwezi gani mwaka jana
 
Nakupongeza sana mdau kwa msimamo wako mi mwenyewe siku hizi nafungua na kusoma coments zao lkn sichangii chochote, maana utakuta mtu mnaehishimiana lkn anaongea pumba za kisiasa au dini ambazo ukimjibu kiufasaha ni lazima mtavunjiana heshima tu.
 
Hayo majukwaa mara nyingi wachangiaje wake wanaongozwa na hisia ndio maana pumba nyingi, ushabiki na matusi ya kipuuzi

BAN nimewahi pata mara moja tu hapahapa kwenye uwanja wetu wa kujidai na sitaki tena kuexperience ile hali, maana nikiikosa JF hata siku tu nahisi kuumwa
 
Ni kweli mdau, mi sijawahi pigwa ban na ntajitahidi nisilipate najihepusha sana na mabishano yasiyo na tija, ukiwa huku kwenye jukwaa la kijani ni burudani tu ngoja tuwaachie wageni wa Dar warumbane kwenye siasa na kugombania mafuso kwenda kwenye kampeni.
 
hah hah hah haya mkuu...
Ila soob ntarudi na ID langu lile lililozoea kupigwa ban

khaa,usharudi selo?nina uhakika majanga yatakuwa yamekukuta jukwaa la politiki tu,manake ukimkuta kaka mkuu kule anashuka mistari hadi mods wanampumzisha teh teh!
 
Na yeye mshabiki wa chama gani? Lol
 
Nyie wanasiasa mna tabu kweli, katika majukwaa naweza maliza mwezi sijaingia ni la siasa, la dini sijui toka mwezi gani mwaka jana

mkuu hivi jukwaa la dini unaingiaje?mbona mie kila nikijaribu halifunguki?
 
Na yeye mshabiki wa chama gani? Lol

mkuu hata siku moja usitegemee wanaharakati kama kaka mkuu wakipende chama tawala.Hata siku moja!hao chama chao kinaeleweka sana tu,nadhani ushakijua!naskia kaka mkuu ni mshauri wa karibu sana na yule mdada wa Kawe,kitu kinachomfanya shem wetu ashikwe wivu na amnyime ruhusa za kutoka usiku kwenda mpirani.Hata kukaa na simu au pc muda mrefu siku hizi kapigwa ban!ban kila mahali teh teh!ndio maana anaonekana humu kwa darubini!
 
Teh teh teh teh .........lol
Ndio maana kasema simu yenye ile ID maarufu ina matatizo kumbe waziri mkuu kaipiga BAN

Hivi watu wanaona nini huko ambacho mie sikioni, wewe je Mkuu? Nina ndugu yangu yeye ni M/kiti wa kata wa hicho chama chenu, ni mbishi kama dagaa wabichi.

Anyway turudi jamvini, huoni kama hii Europa itatuathiri nyumbani? Mara nyingi team zinazocheza alhamis usiku huwa zinadrop sana kwenye ligi hasa kama hazina kikosi kikubwa, na kikosi chetu si kikubwa kwa kweli, am worried to be honest
 
ni kweli mkuu,europa ni mzigo mzito sana lakini una faida mwakani.Juve ina tatizo la kushindwa kucheza mpira wake inapokutana na timu ngeni game approaching inawasumbua sana.Europa ni platform nzuri ya kuliondoa tatizo hili na kumbuka timu nyingi zilizofika mbali kwenye europa huwa msimu unaofuatia zinakuwa very competitive kwenye CL.Sasa kubalance mambo na serie a is a challenge worth taking!
 
Back
Top Bottom