juve uno inter uno
jamaa unapotea hadi Uzi tunausahau!!!
wallah yakhe nipo...nilikuwa nimejichimbia ktk viunga vya Baidoa ila kwa sasa nipo na nitakuwepo humu kwa ushindi, droo ama kipigo.
na nimerudi wakti muntatadad...
Kibano kikali ili urudi tena mafichoni
Juventus the Bianconero kiboko yenu!
teh teh haya sheikh ila soka dakika 90+
Baidoa kwema lakini Sheikh?
kwema yakhe...haya lete habari sasa game ni dakika ya 35 leteni Maneno
kwema yakhe...haya lete habari sasa game ni dakika ya 35 leteni Maneno
Sisi tunaongea uwanjani Sheikh, poleni na dhahma za mzaka mjabya wa Bianconero
Poleni jamani,ila msiumie roho,Milan wazuri,tatizo tu wamekutana na timu nzuri iliyo juu kiviwango na wachezaji wazuri zaidi.Huyu Inzaghi mtafutieni wachezaji wakali,mchanganye na mastaa wachache,timu itarudi,kumpiga Madrid 4 na warembo wake akina Tina wakiwa uwanjani si mchezo!na jana mlicheza vema ila ile striking force ya Juve kuanzia kwenye kiungo ni kali sana,mtu yoyote hata Bayern anakaa kwa soka ile ya jana!
dah Juve wana midomo jama...lol
Aaaaaaaaaaaaah!!!!!! Gang Chombaaaaaaaaaaaaa, upo Kaka?eti leo mna game?