Home of AC Milan, Official Thread

Home of AC Milan, Official Thread

jamaa unapotea hadi Uzi tunausahau!!!

wallah yakhe nipo...nilikuwa nimejichimbia ktk viunga vya Baidoa ila kwa sasa nipo na nitakuwepo humu kwa ushindi, droo ama kipigo.

na nimerudi wakti muntatadad...
 
Bora umekuja mdau. Uzi wako umepoa mpaka basi. Mabuluda wenzako Mourinho, Belo washasilimishwa. Kwa sasa ni wanazi wakubwa wa EPL. Wanashinda kule Chelsea, wanalala man u.
 
Last edited by a moderator:

We kijana huna adabu kabisa, ungeniita kwa adabu tu ningekuja.
Juventus the Bianconero kiboko yenu!
 
Last edited by a moderator:
wallah yakhe nipo...nilikuwa nimejichimbia ktk viunga vya Baidoa ila kwa sasa nipo na nitakuwepo humu kwa ushindi, droo ama kipigo.

na nimerudi wakti muntatadad...

Kibano kikali ili urudi tena mafichoni
Juventus the Bianconero kiboko yenu!
 
Poleni jamani,ila msiumie roho,Milan wazuri,tatizo tu wamekutana na timu nzuri iliyo juu kiviwango na wachezaji wazuri zaidi.Huyu Inzaghi mtafutieni wachezaji wakali,mchanganye na mastaa wachache,timu itarudi,kumpiga Madrid 4 na warembo wake akina Tina wakiwa uwanjani si mchezo!na jana mlicheza vema ila ile striking force ya Juve kuanzia kwenye kiungo ni kali sana,mtu yoyote hata Bayern anakaa kwa soka ile ya jana!
 
dah Juve wana midomo jama...lol
 
Back
Top Bottom