Home of AC Milan, Official Thread

Ac Milan ishika nafasi ya ngapi ktk msimamo wa Seria A mpaka sasa?
 
Duuuh, tunaweza kuwa nae UCL mwakani?

Unasemaa? Labla UCL iwe na maana nyingine, kama Ukamataji wa Chatu Liwale (UCL) lakini sio Uefa Champions League maana hata Europa wataisikilizia bombani.
 
Unasemaa? Labla UCL iwe na maana nyingine, kama Ukamataji wa Chatu Liwale (UCL) lakini sio Uefa Champions League maana hata Europa wataisikilizia bombani.

aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, hivi unakumbuka kelele za Gang Chomba siku zile UEFA? Jamaa alikuwa na misemo huyooo, ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!
 
aha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, hivi unakumbuka kelele za Gang Chomba siku zile UEFA? Jamaa alikuwa na misemo huyooo, ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!!!!
shifta kuja hapa
 
Last edited by a moderator:
Ila Gang Chomba sugu aisee! Hata kupita tu anashindwa? Hivi Mara ya mwisho kaonekana lini huku jf? Hata kwenye majukwaa wengine hasa lile analopenda la "mapishi"?

Come on chomba!
 
Jukwaa la Arsenal amekatiza dakika kadhaa zilizopita, huku kwake anahisi kama Violla bado wapo, mwambie Violla washarudi kwao Florence
 
sheikh nipo...dah nimepoteza simu ambayo ndio nilisevu pasword ya Gang Chomba...dah
 
Last edited by a moderator:
Jukwaa la Arsenal amekatiza dakika kadhaa zilizopita, huku kwake anahisi kama Violla bado wapo, mwambie Violla washarudi kwao Florence

hah hah hah hah dah
yani Inzaghi kaniaibisha mno...
yaani kiukweli Seedolf alikuwa sahihi sema tu falsafa za kizee ndo zimetufikishaa hapa
 
hah hah hah hah dah
yani Inzaghi kaniaibisha mno...
yaani kiukweli Seedolf alikuwa sahihi sema tu falsafa za kizee ndo zimetufikishaa hapa

mkuu,hivi tatizo kubwa nini pale?mbona mmekuwa hivi aisee?Milan naishangaa,sikutegemea crisis iwe ndefu hivi!
 
Jukwaa la Arsenal amekatiza dakika kadhaa zilizopita, huku kwake anahisi kama Violla bado wapo, mwambie Violla washarudi kwao Florence

nimelitafuta jukwaa lenu mpaka page ya 12 but sijaliona...
dah nataka kuwapa pongezi baada ya kufanikiwa kufanya revenge ya tangu mwaka 97...
mmenifurahisha mno, kweli heshima ya Serie A msimu huu imeonekana.
kuanzia kule Alhamisi akina Torino napoli viola roma na inter wamefika sehemu nzuri tu
 
madogo UEFA hata mie wamenifurahisha sana mkuu,sema hii CL ina watu wake,tunammis Milan,ndio anaiweza,hawa akina Roma miaka nenda rudi hawaiwezi.
 
madogo UEFA hata mie wamenifurahisha sana mkuu,sema hii CL ina watu wake,tunammis Milan,ndio anaiweza,hawa akina Roma miaka nenda rudi hawaiwezi.

milan hii ya kusajili wachezaji wasiohitajika na timu wanazotoka?

sahau kuiona kwa sasa
 
milan hii ya kusajili wachezaji wasiohitajika na timu wanazotoka?

sahau kuiona kwa sasa

Kama sikosei ilikuwa ni msimu wa mwaka 2012, hatua ya mtoano ktk UEFA, kama sio mtoano basi Robo.
AC Milan akapangwa na Barca, Game ya kwanza San Siro Milan akashinda 2 - 0 wakafurahi sana. Sasa ile furaha ya kule Italy si ikaamia huku JF.
Gang Chomba akawa anatoa misemo balaa, huyu jamaa natamani siku nimuone. kuna baadhi ya misemo yake na vituko navikumbuka mfano:-
1. AC Milan ni kama maji, usipoyaoga, utaogeshwa ukifa.
2. AC Milan ikitolewa na Barca najing'ata mgongoni
3....…
Sasa tangu Milan aende Camp Nou na akapigwa 4 - 0 ndo ikawa mwisho wake wa kuingia mara kwa mara humu ndani. Huku Lionel Messi asiempenda akapiga magoli ya hatari, ikiwemo lile goli la mapena sana la kwanza.
Wale wanaojua misemo ya Gang Chomba na kuikumbuka jazilizieni namba 3 na kuendelea.
 
Alikuwa anakuja na headlines za magazeti ya kitaliano kama gazzeti del sport, Tutto sport corriero del serra na mengine. Kwanza mwambieni hii I'd yake ya shifta haina ladha kama ile chomba.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…